Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani maboss huwa hawakataliwi?
Hapo chacha, labda anaogopa kufa na njaa mjini....Kwani maboss huwa hawakataliwi?
Ha ha ha kwakweli....eeehhh huyo shoga yako hamnazo kabisa
Chezea Mapesa weye......
Hapo chacha, labda anaogopa kufa na njaa mjini....
Hakuna cha pesa hapo ni mtu atapigwa pmb....Anataka kipiga PESA ndefu hapo.
Acha apigwe pmb tu si anaendekezaSi mfanyakazi na it means ana mshahara wake kila mwisho wa mwezi sasa presha ya nini?Mwambie ajitambue huyo shostito
Mbutaaa!
dogo!!!!!!!!!!!Acha matusi ya kichaga dogo. Tehe
dogo!!!!!!!!!!!
ooh huo udogo unaousemea ni upi labda?Hahahaha yeaaaah !!
Mbona ni usiku sana..!
BPenyeza RUPIA ondoa udhia,acha agegedwe