Huyu si Mwandambo Clemence, mbona kakengeuka! Jela imemkegeula au alikuwa "agent". Kumbe ni minyama tu!

Huyu si Mwandambo Clemence, mbona kakengeuka! Jela imemkegeula au alikuwa "agent". Kumbe ni minyama tu!

1781356161143.png
... TUTAONA MWISHO UTAKUWAJE!
 
Wenyewe watakwambia alikuwa ‘deep cover’ aka ‘afisa kipenyo’. Ndio ujue hiyo TISS imejeza mataahira tu.

Hivi kipindi hiki EU na US wana bills za mambo ya hovyo Tanzania iliyofanya kipindi cha uchaguzi kuuwa waandamanaji.

Video za mataahira kama hawa si ndio ushahidi wanaharakati wanaotaka, kuwapelekea wazungu. Tena huyo jamaa una exaggerate ni afisa mkubwa serikalini huko kwa wazungu.
 
Back
Top Bottom