Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Kuna baadhi ya wanaume ni watu wa ajabu sana, hivi anayempa mimba mwanamke ni nani? Si mwanaume, baada ya kumzalisha, akamkimbia na kumuacha kuwa single mother si ni huyo huyo mwanaume?
Akishaona mtoto kakua anamrudia si huyohuyo mwanaume? Kwanini lawama zote, zinaenda kwa mwanamke?

Mwanamke ambaye amezaa ama ambaye hajazaa, akifanya makosa kwenye mauhusiano, hiyo ni tabia yake. Kama huwa wanarudi kwa waliozaa nao, lazima mwanaume ahusike. So mseme wanaume na wanawake wenye hizo tabia. Msisakame wanawake tu.
 
Best yangu ni singo maza kaolewa alikuwa hana mawasiliano na huyo ex baba mtoto now katafuta namba kazipata mawasiliano moto[emoji91] anakula pesa za matumizi na kamwambia mwanae huyo ni anko,

na mtoto alimuacha na miezi sita kalelewa na baba wa sasa,

sasa anapanga safari akaonane nae,amesema anamuaga mumewe anaenda kumsalimia bibi yake na anajua hawezi mkatalia,

namtizamaaaa[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Utapata Ndoige ukioa single mother
 
Ngoja tunyamaze tu.....
Tukiandika vidole vitauma + kuonekana tunawasagia kunguni

Mwanamke anapokuja kwako kitu cha kwanza hua anakua na Target yaje...
Inawezekana kua njema au mbovu
Mwanamke hakubali tu kua na wew yaan aanze tu
Kuna special target anazitazama hapo

Ambazo zinamfurahisha yeye na nafsi yake..
Shida ni kupambana uzijue Target hizo...

All in all me binafs hawa dada zetu wenye watoto siwez kugusa tena!!!!!!!!!!

Mdogo wangu wa kike ameshaingia huku...
Kwa makosa kidogo aliyoyafanya....
Ila hi hainizuii kuongea ukweli hu

Single mothers wengi wameshaharibika hata mfumo wao wakufikili
Wao kuna namna wana define real love
Kuna namna ukifanya atakupa hata figo yake...
Hawapambanui upendo wa mapenzi tena
Bali wanapima upendo kwa matendo yako β€œkwao”
Hivyo siku zote utaishi kumfurahisha yeye
Na sio wote wawili baina yenu

Najua hujanielewa....ntaelezea tena keshho
 
Mbona story nyepesi sana, bonge la tea aisee.
 
Bora Mtu uoe demu hata aliyeishia lasaba tu wa miaka 18
 
Sijui tatizo linakuwaga nini
 
Kuna muda wanawake hatuna akili masikini hadi huruma....Sasa wewe rafiki yake mshauri
 
Hapa analaumiwa mwanamke kwa sababu mtu kamkimbia kamwacha, kapata mtu wa kumshika mkono halafu yule aliyemkimbia anarudi kwake badala akatae, anaingia mazima tena. Sasa hapo wa kulaumiwa ni nani? Ni mwanamke maana hatumii akili angekataa tu
 
single mother wasikie tu kwenye radio usitake nao mahusiano . kuna moja huyo nimemuapproch leo kanikubalia kesho yake ananiambia mtoto wako kakumiss πŸ˜πŸ˜πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…