Askari kioja
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 356
- 962
Mtaji wa 6milion kwa mpenzi hahaha wajinga ndio waliwao hamjazaa wala hamna ndoa ni ujinga wa kiwango cha sgr ilikupasa ufungwe jiwe la kusagia ukatupwe deep sea pumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaa mkuu, ila always give a woman a second chance wana chelewa kujifunza ila akijifunza anakua mke bora wa mfano.
😂😂Haha single maza Ni NDOIGE kaa mbali
Utapata Ndoige ukioa single motherKuna baadhi ya wanaume ni watu wa ajabu sana, hivi anayempa mimba mwanamke ni nani? Si mwanaume, baada ya kumzalisha, akamkimbia na kumuacha kuwa single mother si ni huyo huyo mwanaume?
Akishaona mtoto kakua anamrudia si huyohuyo mwanaume? Kwanini lawama zote, zinaenda kwa mwanamke?
Mwanamke ambaye amezaa ama ambaye hajazaa, akifanya makosa kwenye mauhusiano, hiyo ni tabia yake. Kama huwa wanarudi kwa waliozaa nao, lazima mwanaume ahusike. So mseme wanaume na wanawake wenye hizo tabia. Msisakame wanawake tu.
Mbona story nyepesi sana, bonge la tea aisee.Single mother nilimpendaga sana yule. Alipigwa mimba akiwa form 2 na jamaa akamkimbia kuogopa kesi. Kaka zake yule binti wakahangaika sana mpaka akajifungua. Nikamkuta amepauka anauza karanga road, huku akiwa na katoto ka miaka 6 kamekonda sana. Binti alinivutia na alikua anaonekana yuko matured sasa kiakili.
Nikajenga nae mahusiano. Tukawa wapenzi. Kutwa kucha hakukosa kutoa lawama kwa mzazi mwenzake kwa kuwakimbia yeye na mwanae. Kwakweli niliguswa na upendo wake na ujuzi wake kitandani. Nikazama mazima. Nikamfungulia biashara kubwa na kuwekeza mtaji wa mil6.
Kilichofuata baada ya kuona ana uhakika wa kupiga pesa na kusimamia biashara kubwa akamtafuta mzazi mwenzake wakaendeleza walipoishia. Jamaa wa kitaa wakanisanua, wakati nipo job kumbe alimuingiza yule jamaa yake chumbani kwangu. Nikaishia kuwafumania na kumfukuza ndani kwangu.
Ile biashara nilimuachia. Matokeo yake bwana ake akaifilisi. Sasa hivi anaishia kunisumbua tu kwenye simu anataka turudiane. Kala block! Sitaki ushauri wowote kuhusu kuoa hawa single mother.
Bora Mtu uoe demu hata aliyeishia lasaba tu wa miaka 18Best yangu ni singo maza kaolewa alikuwa hana mawasiliano na huyo ex baba mtoto now katafuta namba kazipata mawasiliano moto[emoji91] anakula pesa za matumizi na kamwambia mwanae huyo ni anko,
na mtoto alimuacha na miezi sita kalelewa na baba wa sasa,
sasa anapanga safari akaonane nae,amesema anamuaga mumewe anaenda kumsalimia bibi yake na anajua hawezi mkatalia,
namtizamaaaa[emoji849][emoji849][emoji849]
We hujajua ni hiviPole sanaa mkuu, ila always give a woman a second chance wana chelewa kujifunza ila akijifunza anakua mke bora wa mfano.
Sijui tatizo linakuwaga niniBest yangu ni singo maza kaolewa alikuwa hana mawasiliano na huyo ex baba mtoto now katafuta namba kazipata mawasiliano moto[emoji91] anakula pesa za matumizi na kamwambia mwanae huyo ni anko,
na mtoto alimuacha na miezi sita kalelewa na baba wa sasa,
sasa anapanga safari akaonane nae,amesema anamuaga mumewe anaenda kumsalimia bibi yake na anajua hawezi mkatalia,
namtizamaaaa[emoji849][emoji849][emoji849]
Kuna muda wanawake hatuna akili masikini hadi huruma....Sasa wewe rafiki yake mshauriBest yangu ni singo maza kaolewa alikuwa hana mawasiliano na huyo ex baba mtoto now katafuta namba kazipata mawasiliano moto[emoji91] anakula pesa za matumizi na kamwambia mwanae huyo ni anko,
na mtoto alimuacha na miezi sita kalelewa na baba wa sasa,
sasa anapanga safari akaonane nae,amesema anamuaga mumewe anaenda kumsalimia bibi yake na anajua hawezi mkatalia,
namtizamaaaa[emoji849][emoji849][emoji849]
Hapa analaumiwa mwanamke kwa sababu mtu kamkimbia kamwacha, kapata mtu wa kumshika mkono halafu yule aliyemkimbia anarudi kwake badala akatae, anaingia mazima tena. Sasa hapo wa kulaumiwa ni nani? Ni mwanamke maana hatumii akili angekataa tuKuna baadhi ya wanaume ni watu wa ajabu sana, hivi anayempa mimba mwanamke ni nani? Si mwanaume, baada ya kumzalisha, akamkimbia na kumuacha kuwa single mother si ni huyo huyo mwanaume?
Akishaona mtoto kakua anamrudia si huyohuyo mwanaume? Kwanini lawama zote, zinaenda kwa mwanamke?
Mwanamke ambaye amezaa ama ambaye hajazaa, akifanya makosa kwenye mauhusiano, hiyo ni tabia yake. Kama huwa wanarudi kwa waliozaa nao, lazima mwanaume ahusike. So mseme wanaume na wanawake wenye hizo tabia. Msisakame wanawake tu.
Futa tuPole sanaa mkuu, ila always give a woman a second chance wana chelewa kujifunza ila akijifunza anakua mke bora wa mfano.
🤣🤣🤣🤣🤣 maneno kama hayo single maza huwa wanayapenda sana ili unase. Nshaambiwa na single maza wawili. Ukiona hivyo unakaribia kupigwa, "hakika Atlas wewe umejua kuirudisha furaha yangu iliyokua imepotea na kuanza kukataa tamaa ya maisha"
single mother wasikie tu kwenye radio usitake nao mahusiano . kuna moja huyo nimemuapproch leo kanikubalia kesho yake ananiambia mtoto wako kakumiss 😁😁🤔Single mother nilimpendaga sana yule. Alipigwa mimba akiwa form 2 na jamaa akamkimbia kuogopa kesi. Kaka zake yule binti wakahangaika sana mpaka akajifungua. Nikamkuta amepauka anauza karanga road, huku akiwa na katoto ka miaka 6 kamekonda sana. Binti alinivutia na alikua anaonekana yuko matured sasa kiakili.