Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Mimi nimezalisha wawili na wote wameolewa ila sasa tatizo dogo tu napigiwa simu ohhoo mwanaume hajui kunitunza kwanza hata kitandani ni mbovu yaaan makolo kolo kibao wakifanya safari ya kuja dar lazima watake nikawakamue sasa ndipo nilipogundua kuoa single mother inatakiwa uwe na roho ya kusamehe...
 
Sawa Nafaka but hiyo ni akili ya mtu, si kwasababu amezaa. Msihalalishe kuwa kila aliyezaa huwa anarudi kwa aliyezaa naye. Kuna watu wana misimamo yao. Hata ambao hawajazaa huwa wanarudi kwa ma ex.
Ni bora awe na msimamo,wengi hawana hiyo misimamo ndio maana hapa wengi wanazungumzia maumivu...
 
Kuna muda wanawake hatuna akili masikini hadi huruma....Sasa wewe rafiki yake mshauri
Coz mwanzo alikiwa anatumia simu yangu kwasiliana na huyo mzazi, nikaona hili litaniletea shida nikamwambia tu ukweli unachokifanya sio vizuri mumeo akijua itakuwaje? Nikamwambia nyie ndiyo mnaosababisha walio na watoto wanaonekana sio wa kuolewa kwa hayo mambo,,

Now kanunuliwa simu kubwa na huyo bwana,

Kubwa kuliko kasema amemuambia ampe mimba nyingine[emoji16]
 
Umeona eeeh[emoji16]

Namuonea huruma sana kijana anaeoa singo maza,
 
WEKA NAMBA YA ACCOUNT HAPA... TUKUPE POLE KWA KAZI KUBWA YA KUMUELEWESHA SINGO MAZA... NA USISHANGAE HAJAELEWA... HAWAELEWAGI HAWAAA...
 
Lazima utafakari...
Binti kapewa mimba akiwa form two...unadhani kweli akili yake itakuwa sawa baada ya hapo?
Wengine mnawalaumu bure.
 
Hatari hii
 
Mkuu, "single mothers are no go zone"

Kinachomfanya single mama kurudiana na mzazi mwenzie wala sio uwezo wake wa kufikiri/ haudumiwi na mpenzi wake mpya bali ni nguvu kutoka ulimwengu wa kiroho.
Uko sahihi,ni wachache wanaoamua kumrudia Mungu na kufanya toba ndio wanaosalimika,lakini wengi wao hufungwa na hivi vifungo vya kiroho na kujikuta anamrudia mtu wake bila ya kujali hali ya mahusiano yake mapya kuwa inaharibika...
 
Oubobe bado nashikilia kauli yangu, siyo wote, vitu hivyo vinatokea na akili ya mtu mwenyewepia. Naomba nikupe mfano huu na useme je ni wote? Hakuna wanaume wale malaya mbwa? Si wapo ila je tunasema wanaume wote wako hivyo? Mkikutana na waliozalishwa 100 wana tabia za kurudi, walikotendwa si wote.
 
Asante mkuu upo vyema Sana when comes to discuss single mothers you have a lot of experience and I like the way you share with us
 
Huyu wa kwangu huwa namwambia arudi kwa ex wake TU....Nina roho ya kusamehe Mimi....
 
Ushauri: kama hujazaa naye usimpigie simu, usimtext sms wala kurespond calls na sms zake.
 
Wanawake huwa hawawasahau waliowatoa bikra Acha ujinga kaka
 
Hakika inaumiuza sana,lkn litamkuta la kumkuta
 
Mkuu kwa tafiti zangu don't trust a single mother I mean any single mother, akipata upenyo anaenda kwa mtu wake wa kwanza hio ni nature usipingane na nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…