Naona nikwambie kitu
Nyinyi wanawake mna kawaida ya kurudi mlipotoka ipo hivi
Niliwahi kua na mahusiano na dada mmoja na mahusiano yetu yalikua km utani tu mara tukaanza kulana, sasa kuna wakati tukawa kila mmoja anaishi mbali na mwenzie mimi nilienda Mbeya kufanya shughuli zangu yeye akawa yuko Kilimanjaro na shughuli zake, kuna kipindi tukapoteana na mimi nilipoteza simu nikapoteza hadi namba zake
Ikapita miaka 3 nikapokea namba ya voda ngeni kumhoji anasema yeye ni fulani nikashtuka sana maana ni mda mrefu umepita, akaanza story nikamhoji hivi na vile tukafika point akaniambia amepata watoto na mtu mwingine amejifungua mapacha, nikampa hongera zake sasa cha kustaajabu ananiambia anahitaji kua na mimi nikamwambia wewe una matatizo gani si umeolewa wewe? Akachukia
Naomba niishie hapo ila unaposema single mother hua hawarudi kwa ma-ex, ukweli ni kwamba hua wanarudi hata kwa wale ambao hawajazaa nao wanarudi kwenda kupigwa mashine