Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Watamu kwa matumizi...lakini sio wa kuwaoaaa..
 
Sasa ndugu yangu labda nikuulize kitu kimoja.
Umesema single mothers huwa wanarudi kwa ma-ex wao baada ya muda.
Na wewe ambaye ni ex ukikubaliana nae akarudi huoni kwamba tabia zenu ni moja na wewe umerudi? Kwanini usikatae kumrudia ili tuamini kwamba wewe huwa hurudi kwa ma-ex zako?

Na unataka kusema kuwa hakuna mwanaume anayemtafuta ex wake amrudie?
Mbona wapo tunawaona?

Huu mtindo wa kumuangushia matabia mwanamke wakati nyingine hazina jinsia inashangaza sana.

Hizi ni tabia za kibinadamu.
 
Mkuu, hongera kwa kuandika vizuri. Well narated..
 
Pole sanaa mkuu, ila always give a woman a second chance wana chelewa kujifunza ila akijifunza anakua mke bora wa mfano.
Hahaha...usipomteze mwenzio[emoji23]...kama huyo Mwanamke alimfungulia hadi Biashara, yakatokea yaliyotokea...Yani ndo iwe mazima hiyo.
 
Pole mkuu...Yani hata hiyo Biashara usingemuachia.
 
Umemaliza kila kitu mkuu...
 
duh kwa hy mdada anaenda kuwa mmama wa watoto wawili na killa mmoja na baba ake
 
Kwanini usikatae kumrudia ili tuamini kwamba wewe huwa hurudi kwa ma-ex zako?
Mimi nilimkataa siku hio hio maana alinipa a/c zake za social media niende nione watoto wake, nikamuona Jamaa yake nikaona hii sio nzuri maana Jamaa alikua ni muislam na alimbadirisha hadi dini akawa amesilimu sasa nikaona hii sio sawa ila yeye akawa ananiganda nikaachana nae tu hadi leo hatuna mawasiliano yoyote na yeye, ingawa Jamaa yake walikuja wakatengana tena

Yaan huyu Jamaa alimkuta tayari ana mtoto mmoja hata mimi wakati nipo nae alikua na mtoto mmoja ambae alizaa na mhuni mmoja wa Arusha ambae baba yake anafanya Biashara za Madini

Hadi sasa amebaki kua single mother tu maana ndoa yake ilivunjika,

Nisiseme mengi acha niishie hapo tu naona kuna kitu utakua umekielewa japo kwa kidogo tu
 
Unamtizama kodo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndiyo maana wanaume wanatucheka upuuzi huu, je kama mmewe anamsoma tu bila yeye kujitambua anaenda huko anakamatwa uwiii!
 
Naomba namimi nichangie kidogo huyo mwanamke anakupenda ndo maana amekuamba ruhusa angekuw mwengne asinge kuambia chochote na huyo ndo mbaya,msikilize mkeo ikiwezekana ongozana naye msibani mwanzo mwisho usisikilize maneno yawatu ila akizid kipimo nawew zaa nje na mwanamke mwengne afu uwe unajisahau unalala hko nje kwa hyo mwanamke ataingia wivu naheshima yako itarud nahapo ndo uanze kumcontrol yaan toka nitoke kisingizoo kumuona mtoto nakip wiki moja atanyoooka na kukuheshimu
 
Sijui umetumia akili ipi kucomment hapa ila nitakusaidia kuelewa kwa nguvu.

Ipo hivi, mwanamke hapo ndie mwenye maamuzi ya kuharibu au kujenga. Kupewa ujauzito na kukimbiwa na mwanaume hiyo inaweza kueleweka sababu wapo wanaume ambao hutumia uongo kurubuni mabinti na kuwaacha solemba baada ya kuwapa ujauzito huku wakiwa katika mazingira ya utegemezi.

Sasa tatizo au kukosa akili huwa kunakuja kipindi binti amepata mtu mwingine ambaye amemkubali kwa hali yake ya kuwa na mtoto na mwanaume aliyekataa majukumu ya uzazi kwa binti huyu halafu binti kwa kulijua hili anaamua kwa makusudi kurejesha mawasiliano na mtu ambaye alishaonyesha dhamira ya wazi kabisa ya kutotaka kuwa nae kwenye maisha wala kuhudumia mtoto wake wa damu.

Ina maana hata wewe kesho ukiwa mzazi wa binti. Binti yako akapewa ujauzito na kijana usiyemjua halafu ukatelekezewa hapo nyumbani kwako, kisha miaka kadhaa akajitokeza kijana maridadi na mtanashati ambaye ana kila sifa ya kuanza maisha na binti asiye na mtoto akaamua kumuoa binti yako na kulea mjukuu wako bila shida yoyote kama mtoto wake wa kumpata na binti yako.

Halafu unakuja kusikia malalamiko ya huyo kijana kuwa binti yako ameanza vituko anajihusisha na yule kijana muribifu aliyewatelekeza na mtoto kipindi cha nyuma. Hivi kama mzazi utatetea upuuzi wa binti yako kama unavyotetea hapa?!
 
Kama una hofu ya MUNGU na unapenda haki. Tafuta namba mpya mpigie simu mwanaume ujulishe kilakitu. Halafu kaa kimya. Rafiki wa kweli huwa anatenda haki sio kumfichia madhambi mwenzake.
 
Mtaji wa 6milion kwa mpenzi hahaha wajinga ndio waliwao hamjazaa wala hamna ndoa ni ujinga wa kiwango cha sgr ilikupasa ufungwe jiwe la kusagia ukatupwe deep sea pumbavu
Mkuu siyo kosa lake kati ya wanawake wanao penda kuroga wanaume single mother wanaongoza yani ukitaka maisha yako yawe magumu na husipate maendeleo ya kiuchumi basi husiingie kwenye mapenzi na mwanamke aliye zalishwa.mke mwema ni yule ambaye unamuo akiwa haja zalishwa wala kutoa mimba.
 
Duu jamani halafu akiachwa, huyo baby chakavu wake atamuoa?
 
Lazima utafakari...
Binti kapewa mimba akiwa form two...unadhani kweli akili yake itakuwa sawa baada ya hapo?
Wengine mnawalaumu bure.
Ha ha ha ha kwahiyo alipauka mpaka akili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna muda wanawake hatuna akili masikini hadi huruma....Sasa wewe rafiki yake mshauri
Na lazima ipo siku atagundulika tu na akija kuachwa na huyo baba mtoto na yeye atakimbia majukumu tena, Wanawake wana siri sana kuishi na mwanamke inabidi mwanaume tuwe majasusi bila kuwa jasusi huwezi kugundua mabaya.
 
Ha ha ha ha kwahiyo alipauka mpaka akili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
My dear..mtu anazalishwa na kutelekezwa akiwa mtu mzima anachanganyikiwa. Sembuse huyo mtoto wa form two jamani...ambaye hajafikisha miaka 18 apitie hali ya ujauzito unadhani atakuwa sawa hapo baadae?
Na ukute na malezi yake hayakuwa mazuri.
Hawezi akawa mtu mzuri kwenye mahusiano nakwambia.
 
Hii comment inaelezea jinsi akili za wanawake wengi zilivyo hususani single mother

Men ukitaka kuoa single mother hakikisha amekuonyesha kaburi la baba mtoto wake, bila hivyo hapo utakua umeoa mke wa mtu

Umenielewa lakini?
Mkuu single mother wengine watoto wao wana kuwa na Baba wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…