Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Achana na hiyo roho ngumu lakini starehe si alikuwa anazipata!
Unaweza kukuta jamaa alipomuachia hiyo biashara, Lkn pia akawa anamuombea njaa huyo mwanamke[emoji23]...Sasa ya nini yote?
 
Well said!!nilielewa hivi kama uonavyo kabla sijaamuakufanya maamuzi ya kuwa na single mother nikajua ni maneno tu ya wanadamu ila wao wenyewe wamenithibitishia kwa vitendo yakwamba kuwa na single mother kwenye mahusiano ni kutake risk na ni hatari sana.Hata mtoto wangu wa kiume nitampatia ushauri sana juu ya single mother.
 
Dah!!hatari!
 
Kwanza unaoaje single mothers kwa mfano
 
Mkuu ATLAS COPCO,nilikuwa na mdada rafiki yangu pale ATLAS COPCO anaitwa AMINA KISOMBE,hivi bado yupo??
 
Pole sanaa mkuu, ila always give a woman a second chance wana chelewa kujifunza ila akijifunza anakua mke bora wa mfano.
Ukikubali huu ushauri wa jamaa

Utapigwa tukio am ambalo kama hautokufa basi utakufa nguvu za kiume.
 
Mwanaume aliye kamilika hawezi kuwa na mahusiano na single mother
Dah!!wale wanakuwa wamesign mkataba ambao sio rahisi kuvunjika..bora waishi wenywe na tuwatumie kwa matumizi ya kawaida
 
Mimi katika pita pita Kuna singo maza nilizaa nae mtoto sikuoa badae mtoto akakua kidogo nikaenda kwao nikampora mtoto Sasa anakaa kwa mama yangu uzito ukoje kwa single father's kupata binti ambae hajazalishwa ?
 
Acha awoga kijana hata huyo mzazi mwenzake akila Tena kwani Kuna Jambo gani jipya unataka kugundua hapo,Kama kula alishamkula na amezaa naye ,na hyo kitu anakufahamu ,Ni borà zimwi likujualo kuliko zimwi jipya
 
Dah..mkuu Hawa viumbe kwakwel dah ...mi sijui hata wako vp ,ila Amin sana ulicho fikiria kukifanya
 
Si tulikubaliana kuoa Single Mama lazima ushuhudie Kaburi la Baba wa Mtoto au mumeenda kinyume na makubaliano yetu ya Kikao kilichopita?
 
Mnasemaga wanaume wote wapo hivyo dada yangu. Hivyo sikosa mwanaume naye kusema wanawake wote waliozalishwa wapo hivyo, acha ligi.
 
vipi kuhusu single father's na wenyewe pia wasioe maana hawana tofauti na hao wakina Dada waliozalishwa wakaachwa
Unajua utofauti unakuja wapi boss, mwanamke hutii na mwanaume hupenda, pia mwanaume ndio main provider ila simwanamke. Wanawake wengi hujua wanaume hawaumii na kupoteza pesa kwa mtu asiyesahii huona haina effect kwa mwanaume, ila mwanaume siku akikaa chini, atagundua how much he has lost wakati mwanamke alitoa muda tu, hizo hisia sio constant factor. Hivyo mwanamke kwasehemu kubwa haathiriki kama mwanaume, maana kwa tamaduni zetu Africa, mwanaume ndio humtunza mwanamke. Basi mwanaume kapoteza muda na finances sio pesa[emoji23][emoji23] ila mwanamke amepoteza muda tu. Hisia sio chamaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…