KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Wewe una akili sanaAn Ex is an Ex for a reason.
Angeenda kama ana go ahead ya current man.
inabidi wanawake mujaribu kufikiria hiki kitu from men's perspective msifikirie from your Women's perspective ya hurumaTafuta malaika umuoe
kampeleka mwanae msiba wa Babu yake na kakujulisha.,
Labda kama unajua lingine hujaweka wazi hapa
Hata akienda kama demu anataka kutiwa na huyo mzazi mwenziye atatiwa tu. Mwanamke hachungwi!mkuu,fanya hivi
Nenda naye huko msibani kama una mashaka na mzazi mwenzio baada ya hapo utaendelea na ulinzi wako kama kawaida kwa maisha ya nyumbani,maji ushayavulia nguo hayo lazima uyaoge tu maana ake tushawakataza mara nyingi kuhusu single mother's ila hamsikii
Uongo ni mwingi kwenye hii story yako wewe mzee wa "university"Hapo vip!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza...mimi ni mtu ambaye ilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu.
Mnamo mwaka huu mwezi wa january...nimekutana na mdada mmoja ambaye tulimaliza naye chuo..na kwa bahati nzuri nilikuwa nasoma naye course moja na pia tulikuwa group moja kwenye discussion...hivyo na mfahamu kwa kiasi alikuw ni binti mwenye msimamao kwenye mahusiona.
Kipindi hicho sikuweza kumtongoza kwasababu nilikuwa nipo kwenye stress kubwa wakati nasoma university.
Ila ilikuwa namkubali kubali kiasi...ila wakati tukiwa mwaka watu akakutana na jamaa alikuwa ni graduate na anakazi...jamaa akapapanda akafanikiw kumuweka kwenye himaya yake...kwangu haikuniumiza sana kwa kwasababu sikuwahi kumtongoza akanitoe nje.
Siku zikaenda jamaa akaenda kujitambulisha kwa binti...ikapangwa mpaka siku ya harusi na vitu kwa hivyo.
Jamaa akawa anahaerisha harusi mara kwa mara ila kafaniliwa kuzaa naye mtoto...ila baadaye wakaingia kwenye misuguona wakavunja uhusiano na sababu mwanamke anasema jamaa alikuwa na mwanamke mwingine....na mpaka sasa eti jamaa anaishi naye na amezaa naye mtoto...anyway mwanamke akamchukua yule mtoto aliyezaa na jamaa akampeleka kwa wazazi wake.
Mpaka nakutanane naye ameachana na jamaa na kwa takribani miaka mitatu...anyway baada ya kunieleza hayo kwa uchungu nikaanza naye mahusiano baadaye nikaona kwasababu ni mwanamke ambaye namfahamu kitabia tokea nikiwa chuo acha nifumbe macho nifanye haraku za kuweka ndani kwa heshima.
Anyway baada ya kuanza naye mahusiona akamata ujauzito nikaona ili nisimkweze na aone nipo sereous naye ngoja nikamtambulishe...nikampeleka home kwa utambulisho.
Nikawa nimebakiza kibarua ya kwenda kwao ambaye mpaka sasa sijaenda bado.
Sasa leo akanipigia simu akaniambia amepata msiba..nikamuuliza nani akasema baba mkwe wake wa zamani na waenda na dada yake..anyway sikutaka kumcrash.
Ila nimeona nipate muda wakutafsiri hiyo picture na kujiuliza maswali mengi.
Binafsi najiuliza kama ametoka misri na ameamua kwenda Caana kwanini anarudi nyum....
Na kama wameachana na hawakufunga ndoa na ameshatambul8sho katika familia nyingine anaenda kule kama nani...?na kwasababu gani hasa...?
Binafsi nikaona huyu anacheza na akili yangu kwasabsbu kama yupo sereous akesahau kule pa zamani na kusonga mbele na njia mpya...
Mimi nu mtu ni kazi yangu na biashara zangu..sasa naona kwasbabu hana kazi labda anaona apate mahali ambapo atapunguza makali fulani ya stress za mahusiono na maisha may be.
Binafsi naona niwe naye karibu amzee yule kiumbe then niangalie ustarabu mwingine ila asilani sintoweza kumoa tena...m
Unakaribishwa kwa ushauri
Kupima afya nakaburi LA mumewe kipi kiazeKila siku mnaambiwa ukitaka kumuoa single maza mwambie akuonyeshe kwanza kaburi la mme wake
Mkuu,umeshawahi kuona mechi ikianza tayari upande mmoja ushafungwa goli moja? Akili kichwani hapoHapo vip!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtu ambaye nilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu.
Mnamo mwaka huu mwezi wa January, nimekutana na mdada mmoja ambaye tulimaliza naye chuo, na kwa bahati nzuri nilikuwa nasoma naye course moja na pia tulikuwa group moja kwenye discussion. Hivyo na mfahamu kwa kiasi alikuwa ni binti mwenye msimamo kwenye mahusiano.
Kipindi hicho sikuweza kumtongoza kwasababu nilikuwa nipo kwenye stress kubwa wakati nasoma university.
Ila ilikuwa namkubali kubali kiasi, ila wakati tukiwa mwaka wa tatu akakutana na jamaa alikuwa ni graduate na anakazi. Jamaa akafanikiwa kumuweka kwenye himaya yake. Kwangu haikuniumiza sana kwa kwasababu sikuwahi kumtongoza akanitoe nje.
Siku zikaenda jamaa akaenda kujitambulisha kwa binti, ikapangwa mpaka siku ya harusi na vitu kwa hivyo.
Jamaa akawa anahairisha harusi mara kwa mara ila kafanikiwa kuzaa naye mtoto, ila baadaye wakaingia kwenye misuguano wakavunja uhusiano na sababu mwanamke anasema jamaa alikuwa na mwanamke mwingine na mpaka sasa eti jamaa anaishi naye na amezaa naye mtoto, anyway mwanamke akamchukua yule mtoto aliyezaa na jamaa akampeleka kwa wazazi wake.
Mpaka nakutanane naye ameachana na jamaa na kwa takribani miaka mitatu. Anyway baada ya kunieleza hayo kwa uchungu nikaanza naye mahusiano baadaye nikaona kwasababu ni mwanamke ambaye namfahamu kitabia tokea nikiwa chuo acha nifumbe macho nifanye haraku za kuweka ndani kwa heshima.
Anyway baada ya kuanza naye mahusiano akapata ujauzito nikaona ili nisimkweze na aone nipo sereous naye ngoja nikamtambulishe, nikampeleka home kwa utambulisho.
Nikawa nimebakiza kibarua ya kwenda kwao ambaye mpaka sasa sijaenda bado.
Sasa leo akanipigia simu akaniambia amepata msiba, nikamuuliza nani akasema baba mkwe wake wa zamani na waenda na dada yake. Anyway sikutaka kumcrash.
Ila nimeona nipate muda wakutafsiri hiyo picture na kujiuliza maswali mengi.
1. Binafsi najiuliza kama ametoka misri na ameamua kwenda Caana kwanini anarudi nyuma
2. Na kama wameachana na hawakufunga ndoa na ameshatambulishwa katika familia nyingine anaenda kule kama nani...?na kwasababu gani hasa...?
Binafsi nikaona huyu anacheza na akili yangu kwasababu kama yupo sereous akesahau kule pa zamani na kusonga mbele na njia mpya...
Mimi ni mtu ni kazi yangu na biashara zangu, sasa naona kwasababu hana kazi labda anaona apate mahali ambapo atapunguza makali fulani ya stress za mahusiono na maisha may be.
Binafsi naona niwe naye karibu amzee yule kiumbe then niangalie ustarabu mwingine ila asilani sintoweza kumoa tena...m
Unakaribishwa kwa ushauri
Ingekuwa wewe ndo huyo Dada ungefanyaje au ungemshaurije?.inabidi wanawake mujaribu kufikiria hiki kitu from men's perspective msifikirie from your Women's perspective ya huruma
Mnashindwa kutuelewa hapa sababu ya namna mind zenu zilivyo kuwa programmed kufikiria
Baadhi ya wanawake wachache ambao wana thinking like a man wamemuelewa mtoa mada
Kmmmmk, punguza hasira mkubwa π€£ π πTumechoka kuwashauri nyie wasenge, tumeshasema single maza anayepaswa kuolewa ni yule aliyefiwa tu na mumewe hao waliobaki ni wa kupiga miti na kusonga mbele.
Kama mwanaume mwenzio kamshindwa wewe ni nani umuweze?
Kosa lipo akienda lazima jamaa ataomba mzigo, na single mother hawa wez kukataa kabisa.Yaani hata kosa silioni amuache haraka huyo dada tena kwa kumwambia ukweli nimekuacha kwa sababu hii maisha yaendelee
Nikwel Mimi mpenz wangu aliolewa na jamaa, lakin bado alikuwa ana niambia tuzae nae kisiri wakati yeye yupo ndan ya ndoa , na wakati tuna achana nilikuwa sija mzalishaMimi nadhani kitendo cha kushiriki msiba wa ba mkwe sio kosa sana labda awe hajakuomba ruhusa.Kama ni mwaminifu ni mwaminifu tu na kama sio ni sio.Mfano hata ungepata single mother ambae ni mjane kama wengi walivyosema kwamba ukitaka kuoa single mother uhakikishe umeona kaburi la mumewe,mbona Kuna kesi nyingi tu za watu kua na mahusiano na shemeji au baba wakwe?hao nao tutawazungumziaje?Pia unaweza kupata ambae sio single mother na mkaoana vizuri Ila badae akakuchit kwa jamaa mwingne kisiri siri.wapo wanawake wengi tu huchit waume zao ila hawakuolewa wakiwa single mother.
Nilipoumia ni kwamba anataka amuache na mtoto mwingineAiseee.
Kuna lingine liliwahi kujitokeza kabla ya msiba au!?
Single moms kuna mambo ya kuyaepuka baada ya kuingia kwenye mahusiano mapya as tayari kuachana na baby daddy wako tayari muhusika utayekuwa nae na jamii kwa ujumla wanakuangalia vibaya.
Lakini pia nyie step father's pia mjikague vizuri bora kumuacha single mom na hamsini zake kuliko kumuongezea hamsini nyingine halafu unamuacha vile vile.
Mwisho kabisa wanawake kama wanaume wenyewe ndio hawa wa kutusema sema kila kukicha, ifike sehemu mahusiano waachie wengine kuwa busy kulea mwanao. Maana inakuwa kama wanawake wenye watoto ndio Wana matatizo sana.
Wanasahau kunΓ wanawake hawana watoto ila wamezika watoto idadi kubwa kwa abortions
ππππKila siku mnaambiwa ukitaka kumuoa single maza mwambie akuonyeshe kwanza kaburi la mme wake
Singo maa ni sehemu ya kupashia kiporo tu vinginevyo unatafuta matatizoHapo vip!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtu ambaye nilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu.
Mnamo mwaka huu mwezi wa January, nimekutana na mdada mmoja ambaye tulimaliza naye chuo, na kwa bahati nzuri nilikuwa nasoma naye course moja na pia tulikuwa group moja kwenye discussion. Hivyo na mfahamu kwa kiasi alikuwa ni binti mwenye msimamo kwenye mahusiano.
Kipindi hicho sikuweza kumtongoza kwasababu nilikuwa nipo kwenye stress kubwa wakati nasoma university.
Ila ilikuwa namkubali kubali kiasi, ila wakati tukiwa mwaka wa tatu akakutana na jamaa alikuwa ni graduate na anakazi. Jamaa akafanikiwa kumuweka kwenye himaya yake. Kwangu haikuniumiza sana kwa kwasababu sikuwahi kumtongoza akanitoe nje.
Siku zikaenda jamaa akaenda kujitambulisha kwa binti, ikapangwa mpaka siku ya harusi na vitu kwa hivyo.
Jamaa akawa anahairisha harusi mara kwa mara ila kafanikiwa kuzaa naye mtoto, ila baadaye wakaingia kwenye misuguano wakavunja uhusiano na sababu mwanamke anasema jamaa alikuwa na mwanamke mwingine na mpaka sasa eti jamaa anaishi naye na amezaa naye mtoto, anyway mwanamke akamchukua yule mtoto aliyezaa na jamaa akampeleka kwa wazazi wake.
Mpaka nakutanane naye ameachana na jamaa na kwa takribani miaka mitatu. Anyway baada ya kunieleza hayo kwa uchungu nikaanza naye mahusiano baadaye nikaona kwasababu ni mwanamke ambaye namfahamu kitabia tokea nikiwa chuo acha nifumbe macho nifanye haraku za kuweka ndani kwa heshima.
Anyway baada ya kuanza naye mahusiano akapata ujauzito nikaona ili nisimkweze na aone nipo sereous naye ngoja nikamtambulishe, nikampeleka home kwa utambulisho.
Nikawa nimebakiza kibarua ya kwenda kwao ambaye mpaka sasa sijaenda bado.
Sasa leo akanipigia simu akaniambia amepata msiba, nikamuuliza nani akasema baba mkwe wake wa zamani na waenda na dada yake. Anyway sikutaka kumcrash.
Ila nimeona nipate muda wakutafsiri hiyo picture na kujiuliza maswali mengi.
1. Binafsi najiuliza kama ametoka misri na ameamua kwenda Caana kwanini anarudi nyuma
2. Na kama wameachana na hawakufunga ndoa na ameshatambulishwa katika familia nyingine anaenda kule kama nani...?na kwasababu gani hasa...?
Binafsi nikaona huyu anacheza na akili yangu kwasababu kama yupo sereous akesahau kule pa zamani na kusonga mbele na njia mpya...
Mimi ni mtu ni kazi yangu na biashara zangu, sasa naona kwasababu hana kazi labda anaona apate mahali ambapo atapunguza makali fulani ya stress za mahusiono na maisha may be.
Binafsi naona niwe naye karibu amzee yule kiumbe then niangalie ustarabu mwingine ila asilani sintoweza kumoa tena...m
Unakaribishwa kwa ushauri
Afadhali umesema, huo muunganiko ndio tatizo sasa.Mbona sioni tatizo hapo, kumbuka wawili hao wameunganishwa na mtoto/watoto, it's obvious kwamba kukiwa na tatizo upande wowote lazima wahusiane, like it or not.
Muunganiko wa wawili hao upo relevant as long as mtoto/watoto wapo kwenye equation, bear it in your SKULL...
The best solution ni wewe kutembea mbele maana sioni ukiweza kuhimili hizo purukushani.