Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Karucee mwanao amefiwa na babu yake usiende kuzika? Jamani hebu amkeni na nyinyi . Sio wanawake wote wanaokumbushia hizo the so called mechi...nenda hata na shemeji yako
Ila inategemea sasa na huko kwa babu wapo vipi na mtoto. Kama mtoto hakuwahi hata kupelekwa kwenye mji wa wazazi wa baba yake then itakuwa ni pointless kwa binti kujipeleka sababu kimila huyo mtoto hatambuliki katika mji wa baba yake. Kumpeleka ni kujivunjia heshima.......!
 
Hakuna state ambayo wanawake wananyanyasika kama asipokua na kitu cha kumuingizia fedha kidg...umesema amezaa na jamaa kwahiyo hapo mwanayr amefiwa na babu...kwahiyo asiende kisa? Si anaenda kwasababu amechangia damu huko?
Mie naenda sana na huna la kunifanya😏! Unataka maisha yasimame kisa umemtangazia unamuoa? Ase!
Mkuu, huu msimamo ni sahihi especially from the women perspective, na ndo sababu mwanaume asiyehusika inafaa aepuke kabisa kuwekeza hisia zake hapo!!!

Mwanaume hawezi kuvumilia kitendo cha "mkewe" kwenda kuhudhuria kwa pamoja shughuli yoyote na Ex wake, maana anajua lazima watapasha
 
Sio wote wenye akili huzo.mkuu...ila sijui
 
Yote hayo ni kwa ajiri ya kwenda msibani tu!?
Huyu mwanamke hana akili kabisa. Alipaswa akufuate akueleze kisha asikilize uamzi wako. Angekuwa nazo mkichwa alipaswa akupe room tu kuamua na kama vipi angekuomba umpeleke na mrudi wote.

Nakuunga mkono kumpiga chini kwani hajitambui. Mwenye akili asingeenda labda angemtuma dadake akampeleke mjukuu wao tu.
 
Mbona sioni tatizo hapo, kumbuka wawili hao wameunganishwa na mtoto/watoto, it's obvious kwamba kukiwa na tatizo upande wowote lazima wahusiane, like it or not.

Muunganiko wa wawili hao upo relevant as long as mtoto/watoto wapo kwenye equation, bear it in your SKULL...

The best solution ni wewe kutembea mbele maana sioni ukiweza kuhimili hizo purukushani.
Mtoto yuko wapi? Si anaye yeye? Ana sababu gani ya kujipeleka halafu anapiga tu simu anakwenda msibani. Kwanini asimshirikishe mchumba mpya kuamua kama aende au asiende?
 
Hapo vip!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza...mimi ni mtu ambaye ilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu.

Mnamo mwaka huu mwezi wa january...nimekutana na mdada mmoja ambaye tulimaliza naye chuo..na kwa bahati nzuri nilikuwa nasoma naye course moja na pia tulikuwa group moja kwenye discussion...hivyo na mfahamu kwa kiasi alikuw ni binti mwenye msimamao kwenye mahusiona.

Kipindi hicho sikuweza kumtongoza kwasababu nilikuwa nipo kwenye stress kubwa wakati nasoma university.

Ila ilikuwa namkubali kubali kiasi...ila wakati tukiwa mwaka watu akakutana na jamaa alikuwa ni graduate na anakazi...jamaa akapapanda akafanikiw kumuweka kwenye himaya yake...kwangu haikuniumiza sana kwa kwasababu sikuwahi kumtongoza akanitoe nje.

Siku zikaenda jamaa akaenda kujitambulisha kwa binti...ikapangwa mpaka siku ya harusi na vitu kwa hivyo.

Jamaa akawa anahaerisha harusi mara kwa mara ila kafaniliwa kuzaa naye mtoto...ila baadaye wakaingia kwenye misuguona wakavunja uhusiano na sababu mwanamke anasema jamaa alikuwa na mwanamke mwingine....na mpaka sasa eti jamaa anaishi naye na amezaa naye mtoto...anyway mwanamke akamchukua yule mtoto aliyezaa na jamaa akampeleka kwa wazazi wake.

Mpaka nakutanane naye ameachana na jamaa na kwa takribani miaka mitatu...anyway baada ya kunieleza hayo kwa uchungu nikaanza naye mahusiano baadaye nikaona kwasababu ni mwanamke ambaye namfahamu kitabia tokea nikiwa chuo acha nifumbe macho nifanye haraku za kuweka ndani kwa heshima.

Anyway baada ya kuanza naye mahusiona akamata ujauzito nikaona ili nisimkweze na aone nipo sereous naye ngoja nikamtambulishe...nikampeleka home kwa utambulisho.

Nikawa nimebakiza kibarua ya kwenda kwao ambaye mpaka sasa sijaenda bado.

Sasa leo akanipigia simu akaniambia amepata msiba..nikamuuliza nani akasema baba mkwe wake wa zamani na waenda na dada yake..anyway sikutaka kumcrash.

Ila nimeona nipate muda wakutafsiri hiyo picture na kujiuliza maswali mengi.

Binafsi najiuliza kama ametoka misri na ameamua kwenda Caana kwanini anarudi nyum....
Na kama wameachana na hawakufunga ndoa na ameshatambul8sho katika familia nyingine anaenda kule kama nani...?na kwasababu gani hasa...?

Binafsi nikaona huyu anacheza na akili yangu kwasabsbu kama yupo sereous akesahau kule pa zamani na kusonga mbele na njia mpya...

Mimi nu mtu ni kazi yangu na biashara zangu..sasa naona kwasbabu hana kazi labda anaona apate mahali ambapo atapunguza makali fulani ya stress za mahusiono na maisha may be.

Binafsi naona niwe naye karibu amzee yule kiumbe then niangalie ustarabu mwingine ila asilani sintoweza kumoa tena...m
Unakaribishwa kwa ushauri
Foot ball game inaanza 1-0. Beba mzigo wako mkuu
 
Unamaanisha ametaka kwenda kumzika babu yake mwanae. Kuna mambo huwezi kubadili ukiamua kuoa mwanamke mwenye mtoto na mzazi mwingine. Haiwezekani asilani, wewe kama ni wale wasio na vifua vya kuhimili mikiki ya mahusiano huyo hakufai.
Hapana, vinabadilika. Tatizo hapo ni ujinga tu wa mwanamke. Kuna jamaa ameoa mwanamke wa aina hiyo, lakini amewahi kugoma kupeleka mtoto kwenye msiba wa bibi yake kwa maelezo kuwa hawezi kuonesha upendo kwa mtu aliyempuuza na kumwachia jukumu la kulea mtoto.
Akawaambia wakitaka mtoto wasubiri skifika umri wa kwenda huko mwenyewe na si kupelekwa na mamake.

Nilimwona anajitambua vizuri na ana msimamo.
 
Tumechoka kuwashauri nyie wasenge, tumeshasema single maza anayepaswa kuolewa ni yule aliyefiwa tu na mumewe hao waliobaki ni wa kupiga miti na kusonga mbele.
Kama mwanaume mwenzio kamshindwa wewe ni nani umuweze?
[emoji3][emoji3][emoji3]acheni unyanyapaa vipi ma single father mlioshindikana
 
"Na anatakiwa akuombe ruhusa, endapo mtoa ruhusa utagoma kutoa ruhusa basi bibie asilazimishe"

Umeongea kama mwanaume
 
Hakuna state ambayo wanawake wananyanyasika kama asipokua na kitu cha kumuingizia fedha kidg...umesema amezaa na jamaa kwahiyo hapo mwanayr amefiwa na babu...kwahiyo asiende kisa? Si anaenda kwasababu amechangia damu huko?
Mie naenda sana na huna la kunifanya[emoji57]! Unataka maisha yasimame kisa umemtangazia unamuoa? Ase!
Mimi naona hayuko sahihi aisee, huko ni kujipendekeza eti kwa Babu,hafu vipi ku Force kingi na huyo baby daddy si ana mke. Kipindi nakua single mom walikuwa wanaolewa mbona walikuwa hawafanyi huo ujinga sijui kwa Babu wa ex wangu blah blah, dah being single mom kungempa alert ya kuwa makini na kuacha kuruhusu mimba nyingine maana ni stress tupu
 
Hapo vip!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza...mimi ni mtu ambaye ilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu.

Mnamo mwaka huu mwezi wa january...nimekutana na mdada mmoja ambaye tulimaliza naye chuo..na kwa bahati nzuri nilikuwa nasoma naye course moja na pia tulikuwa group moja kwenye discussion...hivyo na mfahamu kwa kiasi alikuw ni binti mwenye msimamao kwenye mahusiona.

Kipindi hicho sikuweza kumtongoza kwasababu nilikuwa nipo kwenye stress kubwa wakati nasoma university.

Ila ilikuwa namkubali kubali kiasi...ila wakati tukiwa mwaka watu akakutana na jamaa alikuwa ni graduate na anakazi...jamaa akapapanda akafanikiw kumuweka kwenye himaya yake...kwangu haikuniumiza sana kwa kwasababu sikuwahi kumtongoza akanitoe nje.

Siku zikaenda jamaa akaenda kujitambulisha kwa binti...ikapangwa mpaka siku ya harusi na vitu kwa hivyo.

Jamaa akawa anahaerisha harusi mara kwa mara ila kafaniliwa kuzaa naye mtoto...ila baadaye wakaingia kwenye misuguona wakavunja uhusiano na sababu mwanamke anasema jamaa alikuwa na mwanamke mwingine....na mpaka sasa eti jamaa anaishi naye na amezaa naye mtoto...anyway mwanamke akamchukua yule mtoto aliyezaa na jamaa akampeleka kwa wazazi wake.

Mpaka nakutanane naye ameachana na jamaa na kwa takribani miaka mitatu...anyway baada ya kunieleza hayo kwa uchungu nikaanza naye mahusiano baadaye nikaona kwasababu ni mwanamke ambaye namfahamu kitabia tokea nikiwa chuo acha nifumbe macho nifanye haraku za kuweka ndani kwa heshima.

Anyway baada ya kuanza naye mahusiona akamata ujauzito nikaona ili nisimkweze na aone nipo sereous naye ngoja nikamtambulishe...nikampeleka home kwa utambulisho.

Nikawa nimebakiza kibarua ya kwenda kwao ambaye mpaka sasa sijaenda bado.

Sasa leo akanipigia simu akaniambia amepata msiba..nikamuuliza nani akasema baba mkwe wake wa zamani na waenda na dada yake..anyway sikutaka kumcrash.

Ila nimeona nipate muda wakutafsiri hiyo picture na kujiuliza maswali mengi.

Binafsi najiuliza kama ametoka misri na ameamua kwenda Caana kwanini anarudi nyum....
Na kama wameachana na hawakufunga ndoa na ameshatambul8sho katika familia nyingine anaenda kule kama nani...?na kwasababu gani hasa...?

Binafsi nikaona huyu anacheza na akili yangu kwasabsbu kama yupo sereous akesahau kule pa zamani na kusonga mbele na njia mpya...

Mimi nu mtu ni kazi yangu na biashara zangu..sasa naona kwasbabu hana kazi labda anaona apate mahali ambapo atapunguza makali fulani ya stress za mahusiono na maisha may be.

Binafsi naona niwe naye karibu amzee yule kiumbe then niangalie ustarabu mwingine ila asilani sintoweza kumoa tena...m
Unakaribishwa kwa ushauri

Uoe single mother Kwani wewe single father!? Acha kumwagilia mtu wa kujinyongea! Ushauri wangu ni huo
 
Hakuna state ambayo wanawake wananyanyasika kama asipokua na kitu cha kumuingizia fedha kidg...umesema amezaa na jamaa kwahiyo hapo mwanayr amefiwa na babu...kwahiyo asiende kisa? Si anaenda kwasababu amechangia damu huko?
Mie naenda sana na huna la kunifanya[emoji57]! Unataka maisha yasimame kisa umemtangazia unamuoa? Ase!
Mkae mkijua kuwa msiba inawezakuwa chanzo ya kurudiana kwahyo jamaa akae tayari kwa lolote
 
kosa lake hapo ni nini sasa?jaman walishaonganisha undugu kupitia mtoto waliyezaa hivo hata kama wameachana kunapotokea msiba sio vibaya kwenda!au ulitaka wasijuane kabisaa
 
Braza nimepitia maelezo yako of course nimeona shaka yako ilipo kuwa ni kama vile huyo mwanamke anaweza kuwa bado hajaachana kikweli kweli na huyo mwanaume, ila mimk naomba kumtetea kdg. Mimi pia ni mwanaume, lakini ukiachia kwenda kwenye huo msiba, hakuna mahali ulipoonesha kuwa bado wanaukaribu wowote tena. Sasa kuhusu msiba, hilo ni jambo la kawaida mkuu, kama wamezaa mtoto inamaana aliyefariki ni babu wa mtoto wake. Kwa hiyo hakukuwa na namna ya yeye na mwanawe kutokuhusika na msiba huo. Naomba kwa hili, isiwe sababu ya kutengana naye. Ila upate muda umueleze kila ambacho hukitaki kukiona kwake inrelation to huyo bwana wake wa zamani.

Pia kama mpo jirani sn, weka makazi yako mbali naye. Kwa kweli, usimuhukumu kwa hilo, hakuna kosa lolote hapo. Tena ungekuwa muungwana zaidi kama ungeenda naye kwenye msiba wa babu wa mtoto ambaye utamlea pia kama baba. Pole kaka
 
oh salalee, baada ya matanga uyo mkeo mtarajiwa anatombeka vizuri sana na ex wake, wanaita kupasha kiporo

mkuu, piga chini, USIOE SINGO MAZA
 
Kuna pande mbili hapo, kwahiyo mjukuu asipelekwe kumzika mwendazake? Kama wampenda mpende tu ukihofia ataliwa nyapu ukumbuke hata ndani kwako wajuba wanaingia na wanaichapa mbususu vya kutosha na haufanyi kitu
 
Back
Top Bottom