Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Binafsi kama si kwenda nae badi hakuna kwenda,kama akienda basi asirudi
Angalau we una wazo la kwenda naye tena hilo wazo nimelipenda sana haya ni mambo ya kijamii ko wakati mwingine hayakwepeki(yule ni babu wa mwanae kumbuka kama we ni mzazi utaelewa)
 
Mbona sioni tatizo hapo, kumbuka wawili hao wameunganishwa na mtoto/watoto, it's obvious kwamba kukiwa na tatizo upande wowote lazima wahusiane, like it or not.

Muunganiko wa wawili hao upo relevant as long as mtoto/watoto wapo kwenye equation, bear it in your SKULL...

The best solution ni wewe kutembea mbele maana sioni ukiweza kuhimili hizo purukushani.
Angekuwa na akili angeomba ruhusa
 
Huyo ni wa kubutua juu achana nae
 
Kwa jinsi navoona uyu mchumba wako bado ana residual za upande mwingine

Mkuu usikimbilie kuoa utakufa kabla ya muda wako ishi nae tu kwanza
Pia msome sna kuna kitu utagundua
 
Hakuna state ambayo wanawake wananyanyasika kama asipokua na kitu cha kumuingizia fedha kidg...umesema amezaa na jamaa kwahiyo hapo mwanayr amefiwa na babu...kwahiyo asiende kisa? Si anaenda kwasababu amechangia damu huko?
Mie naenda sana na huna la kunifanya😏! Unataka maisha yasimame kisa umemtangazia unamuoa? Ase!
Yaani hata kosa silioni amuache haraka huyo dada tena kwa kumwambia ukweli nimekuacha kwa sababu hii maisha yaendelee
 
Dunia ya Leo hvyo viumbe vinavyoitwa "HAWA" akili zao zote sawa awe mkubwa au mtoto maamuzi yao yanafanana kabisa

Kama umeamua kuishi ishi nae mwanamke hata Kama Hana mtoto anachepuka TU Tena anaweza kuleta sio damu yako kabisa na ukajua wako.

Maisha ya ndoa Ni magumu Sana uwe na single mother au umpate asie na mtoto kabisa Ni changamoto Sana

Ukweli uliopo wazaz wa leo wanawafundisha ujinga Sana Hawa watoto wa kike

Single mother hawajaanza kuolewa leo ila single mother wa Sasa Ni tatizo saaana.
 
Yaani hata kosa silioni amuache haraka huyo dada tena kwa kumwambia ukweli nimekuacha kwa sababu hii maisha yaendelee
Na sisi tumezidi kujiweka desperate...! Single mom na huna kitu utadharaulika hadi ujute..hv huyo dada anakazi ya kumbembeleza mchumba..https://jamii.app/JFUserGuide
 
Mimi nadhani kitendo cha kushiriki msiba wa ba mkwe sio kosa sana labda awe hajakuomba ruhusa.Kama ni mwaminifu ni mwaminifu tu na kama sio ni sio.Mfano hata ungepata single mother ambae ni mjane kama wengi walivyosema kwamba ukitaka kuoa single mother uhakikishe umeona kaburi la mumewe,mbona Kuna kesi nyingi tu za watu kua na mahusiano na shemeji au baba wakwe?hao nao tutawazungumziaje?Pia unaweza kupata ambae sio single mother na mkaoana vizuri Ila badae akakuchit kwa jamaa mwingne kisiri siri.wapo wanawake wengi tu huchit waume zao ila hawakuolewa wakiwa single mother.
 
Back
Top Bottom