Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Katika harakati zangu za mtaa kwa mtaa, nilijikuta naanzisha uhusiano na singo maza mmoja ambaye anasoma chuo A hapa mjini.
Kutokana na shepu yake, nikajikuta mwili wote umelegea na moyo ukasahau kusukuma damu, na kuanza kumpenda.
Changamoto aliyonayo, ni kutokuwa na uwezo wa kuniridhisha kimapenzi. Baada ya goli moja, anakuwa hataki tena kufanya tendo, mpaka baada ya siku 5 au zaidi.
Kwangu imekuwa kama mtihani, kwa sababu sioni umuhimu wake; mbaya zaidi nilimuahidi kumchangia gharama za chuo, pamoja na baadhi ya matumizi yake.
Nimekuwa nasita kuanza kuwekeza kiasi kikubwa kwake,kutokana na yeye kutokujua wajibu wake.
Mbaya zaidi, siku za karibuni nikimuambia tuonane, anakuwa na sababu; mara hunijali, kwa hiyo sitakuja n.k
Nimekuwa namtafutia sababu, ili ajiondoe mwenyewe kwenye mchakato.
Mbaya zaidi, leo nimemwambie aje tupige bia mbili; kakataa, anasema nimeshindwa kumuhudumia.
Sasa najiuliza, utamuhudumia mtu asiyekuridhisha? Kwa hasira, nimefanya maamuzi magumu, nimempiga chini.
Hapa nilipo, napiga pombe kali huku nikitazama viuno vizuri vikizungushwa hapa 'pub' ili kuondoa msongo wa mawazo.
Kama atapatikana, toto la kiarabu, pengo lisilozibika, litazibika.