Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu enjoy maisha yenyewe ndo hayaKubadili mboga muhimu mkuu
Singo maza sida sana, wapo wanaojielewa ila wapo wanaingia kwenye mahusiano na priority zao ni maisna yao na watoto wao, utaskia mm nampambania mwanangu, kumpambania kwenyewe ndio hio sssa kukulazimisha umhudumie yeye ili nae ahudumie mwanae.Katika harakati zangu za mtaa kwa mtaa, nilijikuta naanzisha uhusiano na singo maza mmoja ambaye anasoma chuo A hapa mjini.
Kutokana na shepu yake, nikajikuta mwili wote umelegea na moyo ukasahau kusukuma damu, na kuanza kumpenda.
Changamoto aliyonayo, ni kutokuwa na uwezo wa kuniridhisha kimapenzi. Baada ya goli moja, anakuwa hataki tena kufanya tendo, mpaka baada ya siku 5 au zaidi.
Kwangu imekuwa kama mtihani, kwa sababu sioni umuhimu wake; mbaya zaidi nilimuahidi kumchangia gharama za chuo, pamoja na baadhi ya matumizi yake.
Nimekuwa nasita kuanza kuwekeza kiasi kikubwa kwake,kutokana na yeye kutokujua wajibu wake.
Mbaya zaidi, siku za karibuni nikimuambia tuonane, anakuwa na sababu; mara hunijali, kwa hiyo sitakuja n.k
Nimekuwa namtafutia sababu, ili ajiondoe mwenyewe kwenye mchakato.
Mbaya zaidi, leo nimemwambie aje tupige bia mbili; kakataa, anasema nimeshindwa kumuhudumia.
Sasa najiuliza, utamuhudumia mtu asiyekuridhisha? Kwa hasira, nimefanya maamuzi magumu, nimempiga chini.
Hapa nilipo, napiga pombe kali huku nikitazama viuno vizuri vikizungushwa hapa 'pub' ili kuondoa msongo wa mawazo.
Kama atapatikana, toto la kiarabu, pengo lisilozibika, litazibika.