Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Amekimbilia kwa wabongo flevaYule mwenye mimba yako unaendelea kumuhudumia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekimbilia kwa wabongo flevaYule mwenye mimba yako unaendelea kumuhudumia?
Magoli mengi nenda kayafunge huko uwanjani kwa kina KagereWiki nzima, magoli mawili au moja, we unaweza ukavumilia?
Nilivyomsoma, anataka mwanaume asiyekuwa na malengo binafsi, zaidi ya kuhonga tuJaribu kukaa naye chini uongee naye wanawake wakiwa free kimawazo hiyo kitu unapewa mpaka ukinai ila wakiwa na mawazo kidogo daaah tabu tupu
Hayo ni mateso sasa; havikuwekwa hapo kama pambo, vipo kwa kazi maalumuMagoli mengi nenda kayafunge huko uwanjani kwa kina Kagere
Ooooh safiii,Amekimbilia kwa wabongo fleva
Unapenda sana ninapoachika! huo sio uzalendoOoooh safiii,
Leta uzoefu mkuuWarabu watakutoa roho
Upepo umehamia kwa waharabuKatika harakati zangu za mtaa kwa mtaa, nilijikuta naanzisha uhusiano na singo maza mmoja ambaye anasoma chuo A hapa mjini.
Kutokana na shepu yake, nikajikuta mwili wote umelegea na moyo ukasahau kusukuma damu, na kuanza kumpenda.
Changamoto aliyonayo, ni kutokuwa na uwezo wa kuniridhisha kimapenzi. Baada ya goli moja, anakuwa hataki tena kufanya tendo, mpaka baada ya siku 5 au zaidi.
Kwangu imekuwa kama mtihani, kwa sababu sioni umuhimu wake; mbaya zaidi nilimuahidi kumchangia gharama za chuo, pamoja na baadhi ya matumizi yake.
Nimekuwa nasita kuanza kuwekeza kiasi kikubwa kwake,kutokana na yeye kutokujua wajibu wake.
Mbaya zaidi, siku za karibuni nikimuambia tuonane, anakuwa na sababu; mara hunijali, kwa hiyo sitakuja n.k
Nimekuwa namtafutia sababu, ili ajiondoe mwenyewe kwenye mchakato.
Mbaya zaidi, leo nimemwambie aje tupige bia mbili; kakataa, anasema nimeshindwa kumuhudumia.
Sasa najiuliza, utamuhudumia mtu asiyekuridhisha? Kwa hasira, nimefanya maamuzi magumu, nimempiga chini.
Hapa nilipo, napiga pombe kali huku nikitazama viuno vizuri vikizungushwa hapa 'pub' ili kuondoa msongo wa mawazo.
Kama atapatikana, toto la kiarabu, pengo lisilozibika, litazibika.
Kubadili mboga muhimu mkuuUpepo umehamia kwa waharabu
Kwa hiyo ndo ushakuwa Singo hvoo?Katika harakati zangu za mtaa kwa mtaa, nilijikuta naanzisha uhusiano na singo maza mmoja ambaye anasoma chuo A hapa mjini.
Kutokana na shepu yake, nikajikuta mwili wote umelegea na moyo ukasahau kusukuma damu, na kuanza kumpenda.
Changamoto aliyonayo, ni kutokuwa na uwezo wa kuniridhisha kimapenzi. Baada ya goli moja, anakuwa hataki tena kufanya tendo, mpaka baada ya siku 5 au zaidi.
Kwangu imekuwa kama mtihani, kwa sababu sioni umuhimu wake; mbaya zaidi nilimuahidi kumchangia gharama za chuo, pamoja na baadhi ya matumizi yake.
Nimekuwa nasita kuanza kuwekeza kiasi kikubwa kwake,kutokana na yeye kutokujua wajibu wake.
Mbaya zaidi, siku za karibuni nikimuambia tuonane, anakuwa na sababu; mara hunijali, kwa hiyo sitakuja n.k
Nimekuwa namtafutia sababu, ili ajiondoe mwenyewe kwenye mchakato.
Mbaya zaidi, leo nimemwambie aje tupige bia mbili; kakataa, anasema nimeshindwa kumuhudumia.
Sasa najiuliza, utamuhudumia mtu asiyekuridhisha? Kwa hasira, nimefanya maamuzi magumu, nimempiga chini.
Hapa nilipo, napiga pombe kali huku nikitazama viuno vizuri vikizungushwa hapa 'pub' ili kuondoa msongo wa mawazo.
Kama atapatikana, toto la kiarabu, pengo lisilozibika, litazibika.
Halafu hakupendwa...Kifupi we ndio umeachika mkuu
Njoo unipe kampani mkuuKwa hiyo ndo ushakuwa Singo hvoo?
Bado hajapatikanaVp swala la mwarabu ulipata.
AkaNjoo unipe kampani mkuu
Ha ha ha akiondoka unikumbukeAka
Nina kampani tayari
Tukiachana eehh?ha ha ha akiondoka unikumbuke
muda wowoteTukiachana eehh?