Huyu singo maza anataka nifanye maamuzi magumu

Jaribu kukaa naye chini uongee naye wanawake wakiwa free kimawazo hiyo kitu unapewa mpaka ukinai ila wakiwa na mawazo kidogo daaah tabu tupu
Nilivyomsoma, anataka mwanaume asiyekuwa na malengo binafsi, zaidi ya kuhonga tu
 
Upepo umehamia kwa waharabu
 
Kwa hiyo ndo ushakuwa Singo hvoo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…