Huyu singo maza anataka nifanye maamuzi magumu

Kuna majina humu nikiyaona kama ya maLEGEND Fulani hivi, Huwa nashangaa kuona wakiomba ushauri kwenye mahusiano yao.
 
Hukupaswa kufanya maamuzi magumu kisa tu hutoshelezwi kitandani . Yawezekana anapitia wakati mgumu kwenye safari yake ya maisha ilibidi kwa utulivu wa hali ya juu kabisa ungemdodosa ungejua shida iko wapi nahisi baada ya kujua chanzo cha tatizo inakuwa rahisi kumaliza ama kuliondoa tatizo. Mapenzi ni hisia utulivu zaidi unahitajika , wanawake wameumbwa tofauti sana ukilinganisha na sisi wanaume ambapo hisia zetu zipo simpo tu
 
Singo maza sida sana, wapo wanaojielewa ila wapo wanaingia kwenye mahusiano na priority zao ni maisna yao na watoto wao, utaskia mm nampambania mwanangu, kumpambania kwenyewe ndio hio sssa kukulazimisha umhudumie yeye ili nae ahudumie mwanae.

Singo maza wengi ni wabinafsi sana wanataka uwajali sao tu ila mbususu kutoa hawataki eti wanadai waling'atwa na nyoka.

Mkuu kama mbususu anatoa kwa maringo achana nae unapoteza hela zako. Kakosa sifa mbili kubwa. Moja ni singo maza, pili mbususu anakupimia.

Siku muulize kwamba anavyokupimia mbususu siku ukienda kuitafuta kwengine atajisikiaje, halafu usikie atakuambia nn. Anaonekana ana lijamaa lingine linalomchosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…