Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Una uhakika unacho kinena?Kwa Mema ambayo Abood huwa anawafanyia wana Mkoa wa Morogoro hasa pale wakiwa na Shida ( Misiba ) na mpaka wakati wa Furaha ( Ndoa ) ambayo hata Mimi GENTAMYCINE nimeshawahi Kufaidika nayo kwa namna moja au nyingine nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Abood hafai kuwa Mbunge au Kuzipokea hizi Shutuma za Kisiasa dhidi yake.
Mapungufu yake haya hayaondoi Ukweli kwamba Jamaa ( Abood ) ni Mtu wa Watu sana na pia ni Mwema mno tu na asiyebagua wana Morogoro.