Uchaguzi 2020 Huyu siyo Abood ninayemjua. Huwezi kuwa mwema utotoni ukawa shetani uzeeni

Una uhakika unacho kinena?
 
Nyie ndionwake mliosaidiwa kibaba cha unga nakuuza utu wenu umaskini mbaya sana
 
Kasaidie wananchi misiba, ndoa na sherehe utarajie kupewa Jimbo mikoa ya Arusha na kilimanjaro.
Asante kwa kuweka wazi kuhusu kupewa Jimbo, lakini unataka kuwaaminisha watanzania kuwa sisi watu wa Kilimanjaro hatuna shukurani tukitendewa mazuri?. Wachangiaji misiba na harusi tunawapa heshima sana tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…