Huyu trafiki kumkaribia hivi Rais sio hatari?

Ndio walikuwa alert lakini umeona walikuwa 'concerned' naye? Wamemtizama kwa sekunde kadhaa, hizo sekunde zimekuwa destruction kwao
Wamemfukuzilia mbaali, tatizo aliloonyesha trafiki ni utoto. Kwa nafasi yake hakupaswa kufanya vile.
 
Huyu jamaa inaelekea ni mnazi sana wa mama.

Sitaki kuamini kama ni pombe.

Yeye ni mzalendo wa kweli.
 
mbona walikuwa makini nae, ila akupaswa kabisa kuachwa kukatiza pale,
 
Hilo lisoja lililomuelekeza apite kwingine lilipwe posho mara mbili. Limenikosha kwa maamuzi ya haraka na sahihi. Wengine walikuwa wamevaa barakoa wanaangaliana tu huku mtu anapenya
Yap na ndio kafanya kazi yake kwa wakati hao wengine walikua hawaelewi elewi jamaa anazungukua tuu eneo lao
 
Huyo ni askari kweli, mbona kama kuanzia kutembea hadi kimuonekano sio askari, hawa watu ni hatari, walinzi wa Mh. Rais wawe makini na askari wa aina hii..
 
Hilo lisoja lililomuelekeza apite kwingine lilipwe posho mara mbili. Limenikosha kwa maamuzi ya haraka na sahihi. Wengine walikuwa wamevaa barakoa wanaangaliana tu huku mtu anapenya
Hakuna soja pale,wale ni PSU wanaovalia military attire.
 
Hakuna soja pale,wale ni PSU wanaovalia military attire.
Tangu umefahamu kaneno PSU basi unaona unajua kila kitu. Unajua recruitnent huanzia ngazi gani mpaka mtu kuwa mwana PSU? HUYO JAMAA NI MWANAJESHI TENA MWANAJESHI HASWA. tatizo unachanganya kati ya JWTZ Na neno soldier. A soldier anaweza kuwa mkui wa mkoa mwalimu usalama wa taifa kamishina wa tra lakini haibadilishi kitu kuwa yeye ni SOLDIER.
 
Tatizo wanadharaulika sana 😀 yaani Traffic ndio wanamsafishia njia afu wanabaniwa kumsogelea! jamaa kamaindi sana hasira kamalizia kwa Usalama
 
Sipo kubishana mkuu,najua vingi sana.
 
Blaza punguza pombe we, somesha mtoto shule ,atakusaidia maishani mwako.
 
[emoji3577]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…