Kwakweli siku zote nimeshindwa kuwaelewa hawa walinzi wa mama, sometimes wanakuwa kama ni makauzu vile. Hata mpambe nae ADC nae iko shiida kidogo, hebu tena kidogo wanaweza kuwa walinzi wazuri.
Mama akiwa anashuka au kupanda kwenye ndege ndio utaona haswaa ukauzu wao[emoji38][emoji38][emoji38] to extent kwamba hawajui wanatakiwa wakae upande gani!
Hebu CDF Mabeyo na mkuu wa PSU rekebisheni hilo, lakini sio kwa kuwaondoa hao akina mama isipokuwa waongezeeni kidoogo technicalities za ulinzi kwa Kiongozi