Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks
Sekunde 15 za kwanza kabisa
Au jamaa alikuwa anawajaribu hao walinzi kama wapo imara? Ila mpaka kupenya na kufika hapo wale walinzi wa mwanzo ni wazembe sana. Huyu wa mwisho aliyemzuia yupo makini sana.Thanks
Hii mpya!Kuna aliyemsukuma na huyu mrefu mwenye Silaha, ila mwenye silaha alishamuona kabla hajafika, aliyemsukuma amemgumdua tayari ameshampita
Sniper ndio hao hao waliosimama na mitutu, inafikirisha Traffic officer alifikaje eneo hilo la ulinzi?.
Psu ni nn mkuuHii ni hatari sana kwa usalama wa Rais, nashauri PSU ijitathimini sana!
Hapa Mama asipokuwa makini shauri yake. Walinzi wa mzunguko wa kwanza wabadilishwe, mzunguko wa pili wajitathimini maana askari wa kwanza alizubaa sana wakati kabeba bunduki.
Huyu askari gani anafungua vishikizo mbele ya Rais??? Aisee I'm puzzled! Ndivyo huwa wanakufa hivi hivi tu!
Mwanausalama anasukumwa kabisa anageuka kama Raia? What a hell!!!
Hapa tukiongea na vijana wa Al shabab watatukamatia huyu wetu kama kuku tu.Mambo ya ulinzi wa rais bado sana
Kama Rais wa ufaransa anapigwa makofi ije kuwa bongo bado sana
Mungu alinde viongozi wetu
Wale walinzi waliokula wanabeba mitutu kwa mwendazake walitoka kwa kagameSifa moja wapo ya mlinzi wa raisi ni kuwa na mwili mkubwa pia ukakamavu ukiangalia kwa makini hawa walinzi wa sasa wa mama ni kama vile ni hawana miili ya mazoezi, wale waliokuwa wanamlinda Mzee Magufuli walitoka wapi mbona walikuwa wanaonekana wapo fit tofouti na hawa wa sasa.
Ahsante kwa kunirahisishia mkuu
Sekunde 15 za mwanzo kabisa
🤣🤣Kiongozi hata hiyo salute yenyewe umeiona inavyopigwa aisee, salute inapigwa huku mtu anatembea baada ya kubana matako arif.
Huyu mwamba ametisha aisee...!
Hivi kwenye msafara kama ule, kunakuwepo na sniper?Nimeshtuka sana kuona jamaa anapita hivyo kama kibaka alietoka kufukuzwa huku anazuga mbele ya watu
Kweli hata kama kavaa kipolisi ndio usalama wamuache hivyo na kumuelekeza pa kupita
Je kama magwanda amevaa tu na sio traffic officer? Na dhamira ilikuwa kumdhuru Rais
Najua hapo ingeingia kazi ya Snipers tu tena ana bahati angejikuna tako tu Sniper wasingesubiri
presidential security unitPsu ni nn mkuu
Tabia zipi mkuu?Tabia za wazenji....Wengi wamemwagwa huku bara
Maumbile na kimo ni muhimu sana, fuatilia trend ya Zao la PSU la kwanza watu wote walikuwa na miili mikubwa mno, so kigezo cha kwanza cha kuwa mlinzi ni kimo na umbo.
Ufupi na sura hawa wapelekwe wakafanye kazi nyingine huko mtaani..
The sole person who knows the numbers of all creatures under the sun and above the sun😂😂😂😂“His Excellency, President for Life, Field, phd Doctor , VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Tanzania in Particular.”
sijui kwa nini sikupata nafsi ya kumtamkia haya mavyeo yake pengine ninge kuwa waziri