Huyu trafiki kumkaribia hivi Rais sio hatari?

Huyu trafiki kumkaribia hivi Rais sio hatari?

Wapo kuuza sura kuna mmoja ni mlinzi naona kavaa kiofisi na katupia kabisa high heels utafikiri yupo kwenye maonesho ya u- miss, mkuu wao ajaribu kuliangalia hili kwa upana zaidi aweke watu walio makini na kazi yao maana wengi wao wanakula posho za bure na kazi hawataki kufanya.
Mkuu nimekumbuka baadhi ya trainings hizi ni halisi. Tunaweza kuwachukulia poa ila kumbe ni hatari. Pitia picha mojamoja hapa uone wanavyoivishwa
Screenshot_20210709-023746.png
Screenshot_20210709-023717.png

Screenshot_20210709-023856.png

Hii sio muvi ni mafunzo halisi.
Cheki hapa wakila mazoezi ya pumzi
Screenshot_20210709-024139.png
Screenshot_20210709-024115.png
 
Nimeshtuka sana kuona jamaa anapita hivyo kama kibaka alietoka kufukuzwa huku anazuga mbele ya watu

Kweli hata kama kavaa kipolisi ndio usalama wamuache hivyo na kumuelekeza pa kupita
Je kama magwanda amevaa tu na sio traffic officer? Na dhamira ilikuwa kumdhuru Rais
Najua hapo ingeingia kazi ya Snipers tu tena ana bahati angejikuna tako tu Sniper wasingesubiri
Sema bosi wake alimkata jicho la onyo baada ya saluti jicho lililokuwa linamwambia we mpumbavu uliamkia kilabuni nini?
 
Binafsi namuombea mama yetu maisha marefu,aishi miaka>100.
Kwani nadhani ana maadui wengi ndani ya chama chake, CCM.
HAKUNA ATAKAYEWEZA KUMDHURU RAIS WETU MPENDWA.

AMEN.
 
Watu wengi wanachangia as if traffic alikuwa intruder hv,kiprotocal kuanzia rider hadi gari mbili mpaka tatu za mbele ni za matraffic na police,rais anapokuwa safarini nyuma yake kunakuwa na rear guard nao ni mapolice.Hakuna msafara wa rasi unaofanikiwa bila traffic au police.Alichokosea huyo traffic ni kukosa adabu na kupatwa wenge na sio breach of security.
Sawa sawa Mkuu
 
Binafsi namuombea mama yetu maisha marefu,aishi miaka>100.
Kwani nadhani ana maadui wengi ndani ya chama chake, CCM.
HAKUNA ATAKAYEWEZA KUMDHURU RAIS WETU MPENDWA.

AMEN.
Yesu pamoja na kumtegemea mungu aliuwawa itakuwa uyo
 
Mhmhmhmh!

Tuanze mdogo mdogo kwanza!

Kwanza tuelewe mizunguko (guarding circles) inayomlinda Mh Rais. Tukiachana na mzunguko huo ambao umo ndani ambao hatuuoni, kuna mizunguko mitatu iliyo dhahiri katika video.

Mzunguko wa tatu upo huo wa polisi pamoja na wanausalama waliovalia kaunda suti. Unaona kabisa Trafki anaupita na kujitokeza kuukabili mzunguko unaofuata. Hao walijisahau kabisa.

Mzunguko wa pili ni huo wa Wanajeshi walioshikilia mitutu mikubwa mikubwa.
Ukiangalia kwa umakini, kuna mwanajeshi mmoja anamnong'oneza afisa (katika mzunguko wa tatu) kitu. Kumnong'oneza huko kukamfanya kupoteza focus ya kuangalia kwa umakini

Isingelikuwa huyo mwenzake kumuwahi huyo Trafiki na kumuamuru asipite huko bila shaka angelipita karibu kabisa na circle ya kwanza.

Mzunguko wa tatu, unahusisha wanausalama wengine pamoja na huyo mnayemwita Mpambe. Baada ya kuamuriwa kwa kusukumwa trafiki analazimika kupita katikati ya mzunguko wa pili na wa tatu.

Trafiki alifikaje?
Kwanza ametumia advantage ya yeye kuwa sehemu ya usalama. Amevalia kitrafiki.
Akapata upenyo kusogea ndani zaidi.

Lakini tukubali kuwa kuna uzembe ulifanyika wa kumpuuzia.

Hata baada ya kusukumwa anaondoka kwenda kumuagamia mwanausalama kiunoni. Sijui ni makusidi ama kukosa balance.

Huenda ni makusudi kwa kuwa hakusukumwa kwa nguvu sana. Ni kidogo tu. Lakini pia, askari anatakiwa awe mkakamavu, force kidogo kama ile si ya kukuyumbisha kutaka kuanguka.

Huenda si makusidi kwa sababu:
Uoga ulichangia kukosa balance. Nafasi baina ya aliyesukuma na aliyetaka kumuangukia haikuwa ya kutosha.

Je, ni threat?
Hapana, kwa sababu hakusababisha usumbufu wa aina yeyote. Alishindwa kuelewa mipaka yake, mahali anapotakiwa kuishia.

Ila uzembe umefanyika kwa kikosi kushindwa kumzuia kutofika huko.
Mpaka hii leo bado sijaona Kikosi Bora cha Ulinzi cha Rais kama cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kikifuatiwa na kilichokuwa cha Hayati Rais Mkapa na kilichokuwa kinajitahidi kwa Siku za karibuni ni cha Hayati Rais Dkt. Magufuli ila vilivyobakia vyote ( hasa hiki cha Rais Samia ) naona kima mapungufu mengi na hata huko nyuma nilishawahi kuja na 'thread' kama mbili hivi hapa hapa za Kulizungumzia kwa 'angles' tofauti. Hongereni nyote mlioona kuna tatizo mahala fulani kwani mpo sahihi tena 99.9%.

Na sasa ni Kazi ya Wahusika ( PSU ) Kuliangalia hili japo cha Kushukuru tu ni kwamba kwa Tanzania na Watanzania tulivyo Mheshimiwa Rais Samia hana sana Tishio na Maadui ni ngumu Kujipenyeza kwa Tanzania hasa kutokana na Uimara wa Idara ya TISS ambayo inafanya ( inatekeleza ) Majukumu yake vyema na Kiuweledi kabisa hasa Kiusalama ( Kiunjagu ) nchini.
 
BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure!

Haiti Jovenel Moise kala NJUGU.
 
Huku kusimama barabarani ni kiki za kishamba sana za mwendazake. Magari yanazuiwa kupita masaa mawili eti Rais anaongea na watu wake. Wakati huu wa covid delta hii mikusanyiko isitishwe
 
Mhmhmhmh!

Tuanze mdogo mdogo kwanza!

Kwanza tuelewe mizunguko (guarding circles) inayomlinda Mh Rais. Tukiachana na mzunguko huo ambao umo ndani ambao hatuuoni, kuna mizunguko mitatu iliyo dhahiri katika video.

Mzunguko wa tatu upo huo wa polisi pamoja na wanausalama waliovalia kaunda suti. Unaona kabisa Trafki anaupita na kujitokeza kuukabili mzunguko unaofuata. Hao walijisahau kabisa.

Mzunguko wa pili ni huo wa Wanajeshi walioshikilia mitutu mikubwa mikubwa.
Ukiangalia kwa umakini, kuna mwanajeshi mmoja anamnong'oneza afisa (katika mzunguko wa tatu) kitu. Kumnong'oneza huko kukamfanya kupoteza focus ya kuangalia kwa umakini

Isingelikuwa huyo mwenzake kumuwahi huyo Trafiki na kumuamuru asipite huko bila shaka angelipita karibu kabisa na circle ya kwanza.

Mzunguko wa tatu, unahusisha wanausalama wengine pamoja na huyo mnayemwita Mpambe. Baada ya kuamuriwa kwa kusukumwa trafiki analazimika kupita katikati ya mzunguko wa pili na wa tatu.

Trafiki alifikaje?
Kwanza ametumia advantage ya yeye kuwa sehemu ya usalama. Amevalia kitrafiki.
Akapata upenyo kusogea ndani zaidi.

Lakini tukubali kuwa kuna uzembe ulifanyika wa kumpuuzia.

Hata baada ya kusukumwa anaondoka kwenda kumuagamia mwanausalama kiunoni. Sijui ni makusidi ama kukosa balance.

Huenda ni makusudi kwa kuwa hakusukumwa kwa nguvu sana. Ni kidogo tu. Lakini pia, askari anatakiwa awe mkakamavu, force kidogo kama ile si ya kukuyumbisha kutaka kuanguka.

Huenda si makusidi kwa sababu:
Uoga ulichangia kukosa balance. Nafasi baina ya aliyesukuma na aliyetaka kumuangukia haikuwa ya kutosha.

Je, ni threat?
Hapana, kwa sababu hakusababisha usumbufu wa aina yeyote. Alishindwa kuelewa mipaka yake, mahali anapotakiwa kuishia.

Ila uzembe umefanyika kwa kikosi kushindwa kumzuia kutofika huko.
mimi napingana na wewe kamanda ivi askari aliyeingia chuo cha uaskari kweli afanye utopolwa kama ule...huku akiwa anajua ile principle ya 100/100/100.... izo 100 ni idara mbali mbali za ulinzi ikianza na msalaba mwekundu/uokoaji/polisi/kisha jeshi....
 
Kiongozi hata hiyo salute yenyewe umeiona inavyopigwa aisee, salute inapigwa huku mtu anatembea baada ya kubana matako arif.

Huyu mwamba ametisha aisee...!
hiyo saluti ya kubana matako ndio kwanza naisikia kwako...matako yanabanwaje ama ulikuwa unamaanisha kuibana mikono kiunoni...?
 
Kweli kuna yeyote duniani anaweza kumdhuru mama yetu? Kuna yeyote ana uthubutu wa kunyanyua mkono na kumdhuru mama? Hamna kabisa
Wako wengi tuu humu humo ndani.Sababu wanailalamikia katiba,iliyoru&su tuu mtu kuchukua nchi kirahisi
 
KUNA KITABU HAPA NAKISOMA kinahusu mauaji ya mossad kwa kutumia kitengo chao cha mauaji kinaitwa kiddons, yaani kama wakikutana na mazingira ya kizembe hivi ni kazi rahisi sana kwao
kapenyaje hadi hapo alikuwa anaenda kufanya nini hapo hotuba inaendelea? ni traffic kweli huyo?
ata mimi nilikuwa nina swali kama lako...kwa nilivyo muona cheo chake hakupaswa kabisa kumfuata bwana mkubwa pale...eti amsalute...ili hiyo salute imsaidie nini..sasa
 
Kuuliza si ujinga, wengine utaalamu wetu ni kwenye kuhesabu pesa counter, Je kitendo cha huyo Traffic kumkaribia Rais namna hiyo sio Security Breach?

Ukiangalia kwa umakini alikaribia mno tena kupita nyuma ya hao Walinzi wenye silaha nje nje, kwa akili zangu za kawaida naona hatari maana kama mtu mbaya na mwenye mafunzo anapita karibu hivyo anaweza kuwapokonya hao akafanya fujo

Lakini pia baada ya kuambiwa huku usipite pita huko akamgusa huyu afisa mmoja kiunoni kwa nyuma kiasi anaweza kugusa silaha iliyofichwa mfukoni.

Na kuonesha kuwa halikuwa jambo la kawaida, amevuta attention ya karibu wana usalama wanne mpaka watano mpaka waliokuwa karibu kabisa na Rais, kiasi wamegeuka na kumtizama kwa sekunde kadhaa wakati anaondoka, hata huyo Kamanda aliyepigiwa saluti hajamuelewa kabisa huyo askari kamuangalia kwa mashaka.

Hiyo haiwezi kuitwa Security Breach au ni kawaida tu

View attachment 1846143

Huyu askari kweli? Kweli kweli askari huyu?? Mbona nidhamu sifuri? Hata kiongozi wake kamshangaa saluti yenyewe ya kilevi tu
 
Mfumo wa ulinzi wa mama unatia shaka pakubwa sana kuna picha moja nimeona mlinzi mwanamama kavaa high heels? Hivi wapo serious kweli na uhai wa huyu mama?

Ni kawaida kwa walinzi wa kike kuvaa travolta ila huyu kanishtua kwa kweli leo, mlinzi anavaa kama anaenda ofisini.
Unaonaje ukamjaribu yule mlinzi aliyevaa high heels then uje utusimulie kitakachokupata km yupo fit na high heels au kavaa za mtoko
 
Huyo trafiki ni kama amefanya kusudi kumsukuma mwanausalama baada ya kuelekezwa kwa kupita. Kimsingi, hapo kulikuwa na makosa na huyo trafiki hakufanya vyema kumsukuma mwanausalama na kumtwangia saluti mkuu wake tu.

Lipo jambo la kuchunguzwa na kurekebishwa hapo. Binafsi, sikupenda namna huyo trafiki alivyomsukuma kwa makusudi( tazama mkono wake wa kushoto) mwanausalama.
Acha petty issues kashughulike na sheria mahakamani. Nenda jukawaa la Sheria , toà elimu huko. Acha viti vidogo kama hivi
 
Back
Top Bottom