Huyu trafiki kumkaribia hivi Rais sio hatari?

Jamaa amenichekesha mpaka basi! Ila kaosha sura! Ahahahahahaha!!
 
alikua ana mkwepa mwanaume mwenyewe silaha
Kajikuta anaelekezwa apite mbele yao kapita akiwa anataka kuanguka kajikuta anamsukuma mvaa suti nyeusi bila kupenda 😀😀😀😀
 
MATAGA hao na SUKM Gang!
 
Kosa la kwanza ni boss wake aliyemuita,angle aliyokuwa RPC Muslim ilikuwa kwenye kona ya gari la Rais.Trafic kajichanganya ili afike haraka kwa bosi wake.

Kosa la 2 communication yao ilikuwa poor na trafik wake,kimsingi wamepotezea tu walinzi wa Rais.

Unapita mgongoni mwa usalama wa Rais?
Hao ndio maaskari hupewa vyeo na ndugu.
 
Nimeshtuka sana kuona jamaa anapita hivyo kama kibaka alietoka kufukuzwa huku anazuga mbele ya watu

Kweli hata kama kavaa kipolisi ndio usalama wamuache hivyo na kumuelekeza pa kupita
Je kama magwanda amevaa tu na sio traffic officer? Na dhamira ilikuwa kumdhuru Rais
Najua hapo ingeingia kazi ya Snipers tu tena ana bahati angejikuna tako tu Sniper wasingesubiri
 
Nakumbuka niliwaambia watu hapa kwamba Ngoma bado mbichi mno!


Kiko wapi Sasa? Kuna tofauti Gani na ulinzi wa mtangulizi wake?
 
Hukuwepo hapo Black Sniper?
 
..labda katumwa kupima umakini wa timu nzima inayomlinda raisi.

..sasa hapo kila ambaye amezembea anakwenda kuwekwa kitako.
Kama ni kweli kulitokea uzembe bila kujali nia ya huyo trafiki bila shaka watawekwa watu kitako
 
Mi naona wamejitahidi kumchomoa sio kama wale wa Macron wanaacha mpaka akatwe vibao
 
Huyo jamaa kwa vyovyote vile alikuwa na agenda yake ya siri. kuna kitendo alitaka kufanya nukta
 
Mwanausalama anasukumwa?[emoji3525]
 
Weka soft copy
 
Tumsamehe bure huyo traffic, huenda kodi ya nyumba imeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…