safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Haina shida mkuu.Nawajua Mkuu!.
Namna ya kueleza kila mtu afahamu wa kuangalia video.
Pa1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina shida mkuu.Nawajua Mkuu!.
Namna ya kueleza kila mtu afahamu wa kuangalia video.
Jamaa amenichekesha mpaka basi! Ila kaosha sura! Ahahahahahaha!!Kuuliza si ujinga, wengine utaalamu wetu ni kwenye kuhesabu pesa counter, Je kitendo cha huyo Traffic kumkaribia Rais namna hiyo sio Security Breach?
Ukiangalia kwa umakini alikaribia mno tena kupita nyuma ya hao Walinzi wenye silaha nje nje, kwa akili zangu za kawaida naona hatari maana kama mtu mbaya na mwenye mafunzo anapita karibu hivyo anaweza kuwapokonya hao akafanya fujo
Lakini pia baada ya kuambiwa huku usipite pita huko akamgusa huyu afisa mmoja kiunoni kwa nyuma kiasi anaweza kugusa silaha iliyofichwa mfukoni.
Na kuonesha kuwa halikuwa jambo la kawaida, amevuta attention ya karibu wana usalama wanne mpaka watano mpaka waliokuwa karibu kabisa na Rais, kiasi wamegeuka na kumtizama kwa sekunde kadhaa wakati anaondoka, hata huyo Kamanda aliyepigiwa saluti hajamuelewa kabisa huyo askari kamuangalia kwa mashaka.
Hiyo haiwezi kuitwa Security Breach au ni kawaida tu
View attachment 1846143[/SIZE]
Kajikuta anaelekezwa apite mbele yao kapita akiwa anataka kuanguka kajikuta anamsukuma mvaa suti nyeusi bila kupenda 😀😀😀😀alikua ana mkwepa mwanaume mwenyewe silaha
MATAGA hao na SUKM Gang!Kuuliza si ujinga, wengine utaalamu wetu ni kwenye kuhesabu pesa counter, Je kitendo cha huyo Traffic kumkaribia Rais namna hiyo sio Security Breach?
Ukiangalia kwa umakini alikaribia mno tena kupita nyuma ya hao Walinzi wenye silaha nje nje, kwa akili zangu za kawaida naona hatari maana kama mtu mbaya na mwenye mafunzo anapita karibu hivyo anaweza kuwapokonya hao akafanya fujo
Lakini pia baada ya kuambiwa huku usipite pita huko akamgusa huyu afisa mmoja kiunoni kwa nyuma kiasi anaweza kugusa silaha iliyofichwa mfukoni.
Na kuonesha kuwa halikuwa jambo la kawaida, amevuta attention ya karibu wana usalama wanne mpaka watano mpaka waliokuwa karibu kabisa na Rais, kiasi wamegeuka na kumtizama kwa sekunde kadhaa wakati anaondoka, hata huyo Kamanda aliyepigiwa saluti hajamuelewa kabisa huyo askari kamuangalia kwa mashaka.
Hiyo haiwezi kuitwa Security Breach au ni kawaida tu
View attachment 1846143[/SIZE]
MATAGA hao na SUKM Gang.!Tukio litachunguzwa na hatua zitachukuliwa
Tazama vyema Mkuu utakubaliana na mimi. Ni kusudi kabisa
Hukuwepo hapo Black Sniper?Nimeshtuka sana kuona jamaa anapita hivyo kama kibaka alietoka kufukuzwa huku anazuga mbele ya watu
Kweli hata kama kavaa kipolisi ndio usalama wamuache hivyo na kumuelekeza pa kupita
Je kama magwanda amevaa tu na sio traffic officer? Na dhamira ilikuwa kumdhuru Rais
Najua hapo ingeingia kazi ya Snipers tu tena ana bahati angejikuna tako tu Sniper wasingesubiri
Mi naona wamejitahidi kumchomoa sio kama wale wa Macron wanaacha mpaka akatwe vibaoKosa la kwanza ni boss wake aliyemuita,angle aliyokuwa RPC Muslim ilikuwa kwenye kona ya gari la Rais.Trafic kajichanganya ili afike haraka kwa bosi wake.
Kosa la 2 communication yao ilikuwa poor na trafik wake,kimsingi wamepotezea tu walinzi wa Rais.
Unapita mgongoni mwa usalama wa Rais?
Hao ndio maaskari hupewa vyeo na ndugu.
Mwanausalama anasukumwa?[emoji3525]Huyo trafiki ni kama amefanya kusudi kumsukuma mwanausalama baada ya kuelekezwa kwa kupita. Kimsingi, hapo kulikuwa na makosa na huyo trafiki hakufanya vyema kumsukuma mwanausalama na kumtwangia saluti mkuu wake tu.
Lipo jambo la kuchunguzwa na kurekebishwa hapo. Binafsi, sikupenda namna huyo trafiki alivyomsukuma kwa makusudi( tazama mkono wake wa kushoto) mwanausalama.
Weka soft copyKUNA KITABU HAPA NAKISOMA kinahusu mauaji ya mossad kwa kutumia kitengo chao cha mauaji kinaitwa kiddons, yaani kama wakikutana na mazingira ya kizembe hivi ni kazi rahisi sana kwao
kapenyaje hadi hapo alikuwa anaenda kufanya nini hapo hotuba inaendelea? ni traffic kweli huyo?