Huyu trafiki kumkaribia hivi Rais sio hatari?

Au jamaa alikuwa anawajaribu hao walinzi kama wapo imara? Ila mpaka kupenya na kufika hapo wale walinzi wa mwanzo ni wazembe sana. Huyu wa mwisho aliyemzuia yupo makini sana.
 
Hii ni hatari sana kwa usalama wa Rais, nashauri PSU ijitathimini sana!

Hapa Mama asipokuwa makini shauri yake. Walinzi wa mzunguko wa kwanza wabadilishwe, mzunguko wa pili wajitathimini maana askari wa kwanza alizubaa sana wakati kabeba bunduki.

Huyu askari gani anafungua vishikizo mbele ya Rais??? Aisee I'm puzzled! Ndivyo huwa wanakufa hivi hivi tu!

Mwanausalama anasukumwa kabisa anageuka kama Raia? What a hell!!!
 
Sniper ndio hao hao waliosimama na mitutu, inafikirisha Traffic officer alifikaje eneo hilo la ulinzi?.

Yaani bado anawasukuma wanamuangalia tu
Kweli usalama wajitathmini
Enzi za Magu maskini walikuwa wanabebwa haraka haraka
Ila huyo wala haijulikani katokea wapi na vazi utafikiri kakurupushwa mahali

Yaani angekula mtama kwanza halafu maneno baadae

Snipers wako mbali na hapo aidha kwenye majengo hata juu ya mti wanaweza kukaa hata siku mbili kabla ya ujio wa Rais
Sniper hawajichanganyi
Walinzi wa Rais wanatokea jeshini na wamegawanyika kwa kazi zao na wako chini ya Amiri Jeshi
Kwa mfano Ghana wana infantrymen kabisa na ni kikosi maalum tangu mwaka 1960

Ukienda India hao ni balaa tangu wamuuwe Indira
Wana kikosi kikali sana ambao mpaka paratroopers wamo na kikosi wengi ni commandos kama wa kwetu ambao ndio unaowaona wamelizunguka gari la Rais hao ni special forces
 
Psu ni nn mkuu
 
Watu wengi wanachangia as if traffic alikuwa intruder hv,kiprotocal kuanzia rider hadi gari mbili mpaka tatu za mbele ni za matraffic na police,rais anapokuwa safarini nyuma yake kunakuwa na rear guard nao ni mapolice.Hakuna msafara wa rasi unaofanikiwa bila traffic au police.Alichokosea huyo traffic ni kukosa adabu na kupatwa wenge na sio breach of security.
 
Mambo ya ulinzi wa rais bado sana

Kama Rais wa ufaransa anapigwa makofi ije kuwa bongo bado sana

Mungu alinde viongozi wetu
Hapa tukiongea na vijana wa Al shabab watatukamatia huyu wetu kama kuku tu.

Kule Haiti waliwakodisha weupe wanao ongea kifaransa wakampeleka mkandamizaji wao wa demokrasia peponi.
 
Wale walinzi waliokula wanabeba mitutu kwa mwendazake walitoka kwa kagame
 
Duuuh huyo mwamba Traffic Wala sijamuelewa.....sijamuelewa hata....kwanini asipite ule upande wa mbele ya walinzi karibu na wananchi?

Khaaaa
 
Hivi kwenye msafara kama ule, kunakuwepo na sniper?
 
Maumbile na kimo ni muhimu sana, fuatilia trend ya Zao la PSU la kwanza watu wote walikuwa na miili mikubwa mno, so kigezo cha kwanza cha kuwa mlinzi ni kimo na umbo.

Ufupi na sura hawa wapelekwe wakafanye kazi nyingine huko mtaani..

..kimo na umbo sio tija.

..jambo la msingi ni uwezo wa kimafunzo wa mhusika.

..kuna komandoo nilimuona uwanja wa taifa ana kitambi kikubwa kuliko cha Mzee Ole Sendeka.
 
The sole person who knows the numbers of all creatures under the sun and above the sun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…