Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lako wewe nini?Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Bungeni patamu asikuambie mtu, siku ukienda tu kutembelea utatamani na wewe uwe miongoni mwaoNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Kuna mmoja alikatwa akamchukia Mwendazake hatari, aliongoza kura za Wajumbe. Magu akaja kumla kichwa.Ni mbunge wa Magufuli
Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Hiyo sentensi wachache sana wameielewa, Ni Tafsida!!Umejuaje na wewe kama anataka sifa.
Ale tu. Mi hainipi shida. Kumbe ni mbunge?hatari sana..sijui wapiga kura wake?Mbunge anakula maisha
We ye wamsemaje?
NJOMBE moja huyo
Acha ale matunda amepewa
Utashi huo ndo nami nautumia kutoa maoni yangu. It is two way trafficKila Mtu ana utashi wake...Kwa nini ujione upo sahihi?
Pole mkuu redio naona umemaindi picha yako kupostiwa humuWewe una chuki zisizo na Sababu, yeye anajua ana nufaika vipi kuwa kada wa Chama Cha mapinduzi.
Nawewe kama utaona inafaa tafuta Chama na uonyeshe mapenzi yaliyo tukuka kwa icho Chama.
Kuwa chukia wengine haitabadili maisha Yako na kutafuta maradhi ya Moyo sababu ya chuki.
Chuki ni Sumu.
Huyu jamaa mshamba sana. Aliposhinda tu ubunge akaanza kuwapigia simu wanawake( inaoneakan wale waliokuwa wamempiga chini na sura lake zito) na kuwaambia eti "wewe sasa lazima nikutafune" BURE KABISANi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Furaha au kujirusha au kushangilia ni hulka na haki ya msingi kwa kila binadamu. Na isitoshe ni Mbunge kijana ndani ya ukumbi wa chama.sijaona tatizo lolote
Unaona....ndo akili hizi wenzie humu wanamtetea. Mtu anayevaa hivi hawezi kuwa na akili. Wanamtetea mwenzaoHuyu jamaa mshamba sana. Aliposhinda tu ubunge akaanza kuwapigia simu wanawake( inaoneakan wale waliokuwa wamempiga chini na sura lake zito) na kuwaambia eti "wewe sasa lazima nikutafune" BURE KABISA
Huwezi kuona ni mpaka uwe na akili.sijaona tatizo lolote
Zezeta si zezeta juha si juha...yani jinga flaniNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Anaonekana tu....hamna kitu kichwani.Ka
Zezeta si zezeta juha si juha...yani jinga flani