Huyu unaweza kuta ni Baba yake mtu au naye ana Wazazi wanasema wana mtoto wa kiume

Huyu unaweza kuta ni Baba yake mtu au naye ana Wazazi wanasema wana mtoto wa kiume

Wee komaa hivyo hcto lakini kuna qengine wanakuona mjinga kwenye NOIN THE CHAIN halafu wabuni wanazitafuna. Muache kwa ujinga huo huo wapo wanapiga hela ndefu ya ccm kwa uchawa kumbuka wanakula kodi zako ambazi ccm imekukamua. Sasa hapo mjinga nani
 
Wewe una chuki zisizo na Sababu, yeye anajua ana nufaika vipi kuwa kada wa Chama Cha mapinduzi.

Nawewe kama utaona inafaa tafuta Chama na uonyeshe mapenzi yaliyo tukuka kwa icho Chama.
Kuwa chukia wengine haitabadili maisha Yako na kutafuta maradhi ya Moyo sababu ya chuki.
Chuki ni Sumu.
Huu ni udaku wa facebook na instagram.
 
Back
Top Bottom