Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Kila mtu ana uhuru wa kuishi atakavyo, bila kuvunja sheria-Liberty.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta kazi ya kufanya **** kibuaKwa haya maelezo wewe utakuwa mkewe au mchepuko wake. Nimekuelewa ndo maana umepaniki sana.
Sanga huyuNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Kwan ni nani uyu munayemuhongelea apa?Sang
Sanga huyu
Then achana naye.Utashi huo ndo nami nautumia kutoa maoni yangu. It is two way traffic
Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Usikasirike. ...hongera anakuambia mambo mengi sana.Tafuta kazi ya kufanya **** kibua
Mimi sipo naye. Labda nikushauri wewe sasa uachwe naye.😁Then achana naye.
Huyu ni CHOKO!Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Nileteeni huyu nishuulike nae mpaka aite maji mmaHuyu ni CHOKO!
Mkuu wewe ni mzibua mitaro?Nileteeni huyu nishuulike nae mpaka aite maji mma
Huu ni udaku wa facebook na instagram.Wewe una chuki zisizo na Sababu, yeye anajua ana nufaika vipi kuwa kada wa Chama Cha mapinduzi.
Nawewe kama utaona inafaa tafuta Chama na uonyeshe mapenzi yaliyo tukuka kwa icho Chama.
Kuwa chukia wengine haitabadili maisha Yako na kutafuta maradhi ya Moyo sababu ya chuki.
Chuki ni Sumu.
Huyu si ni sanga wa maketeNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Kupitia CCMMtu mzima anajidhalilisha.