DOKEZO Huyu Waziri Rajabu ni nani? Nasikia anapiga deal nzito sana wizara ya ujenzi

DOKEZO Huyu Waziri Rajabu ni nani? Nasikia anapiga deal nzito sana wizara ya ujenzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huyu jamaa ni nani ? Hii picha inamuonyesha akiwa Dubai kapokelewa kwa ajili ya negotiations

Fikra za walalahoi ndio hizi. Wewe hujaweka hata kitu ulichosikia kuhusu dili anazopiga ila picha kuwa yuko Dubai ndio inafanya yako roho korosho izidi kujiviringa.
Dubai hata dada wa kazi wanakwenda. Fungus akili
 
so ni kosa abdul kuwepo hapo? je kama a nafanya majukumu yake ya first son je vibaya? mbona trump aliteua mwanae kuwa wazir trump jr
Hii siyo nchi ya kifalme, angeteuliwa tujue cheo chake kama watoto wa viongoz wengine walivyofanya lakin kwa hicho kinachofanyika siyo sahihi kwa mpuuz mmoja kusafiri kwa mgongo wa kuongelea mambo ya nchi yeye km nani
 
Huyo ni katibu wa rais [Personal Assistant] ni mtu mwema na mkarimu amesaidia vijana wengi tu, ni mtumishi wa umma kabla ya kuwa kqtibu wa rais alikuwa mtumishi ktk mamlaka ya elimu, Suala la kufanya negotiation ni sehem ya majukumu ya mtumishi wa umma kwa mujibu wa sheria ya ununuzi ya mwaka 2023 na kanuni zake za 2024, unless useme una tatiO naye binafsi
 
Kuamka ni adithi ya kufikirika, hakuna kuamka usingizini daima.
 
Back
Top Bottom