Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

Kamilize Mo atakupa jibu mzee baba
Mo anahangaika na vitu vingi. Mimi ntanunua Treasury bonds za BOT hata za 7B kisha nitulie zangu niendelee kula mema ya nchi. Sihangaiki tena bali pesa itanihangaikia hadi siku narudisha namba. Migao yangu nanunua shares za kampuni tu yani siji involve na biashara za moja kwa moja.
 
Mi sitaki utajiri ila nataka uhuru wa kifedha
There is no such thing as uhuru wa kifedha hapa duniani tena more money nd kifungo zaidi na zaidi. Kwanza aina ya marafiki inachange from nkipata b15 tu ntakuwa na furaha na story za namna hiyo kwa watu unaokuwa nao around to nna b15 bank natakiwa nifanye nini. Unakuja kugundua it's lonely at this level may be I need more and more and more and more and the cycle continues. Unaanza kujiuliza what happens to my money when I die? Ulihis watu hawakuheshim sababu huna kiasi fulani now unacho ila marafiki zako sio wale wa mwanzo tena so unaokuwa nao sasa hawakuheshimu vile vile more depression. Sina hakika sana ila binadamu anaechase maisha anaweza kuwa na uwezekano mkubwa wa kushukuru kwa kila hatua atakayopiga milele na kujiongezea furaha kuliko mtu ambae shukrani yake alishaimaliza kwa kuhisi anaweza kuafford kila kitu.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Extrovert suala la kuwa na B15 ni mchakato and the time unafikia hiyo pesa unakuja kugundua huwezi ishi life la kawaida unalotaka wewe.

Ukijifunza vitu kwa wahusika wa hivyo vitu utajikuta una amani sana ya moyo.

Mhubiri anasema " Yote ni ubatili na kujilisha upepo" means alipewa vyote alivyotaka ila bado hakupata ile kitu ya kukonga moyo
 
Mkuu mimi ntaishi maisha yangu haya haya. Kama huamini we niingizie hio hela kwenye account yangu uone kama ntapotea hapa jf. 🤣
 
Ila kuna hii ishu ya kuwa kijana wa 20s na early 30s na kuwa na pesa nyingi na kifo hasa ajali

Sometimes nawazaga Mungu anakupa vitu kwa wakati sahihi ili usije ukapotea
Mfano mimi Baba Nla kwa umri wangu huu nipate Range yangu saafi aisee 😀😀 sitaona vibao vya 50Kph😂😂 matokeo ni nini...

Marehemu alikua bado kijana😄😄
 
Mkuu mimi ntaishi maisha yangu haya haya. Kama huamini we niingizie hio hela kwenye account yangu uone kama ntapotea hapa jf. 🤣
Hiki ndicho kitu ambacho wadau wengi hawajakinote katika point zako.

Wao wanadhani utabadilisha maisha na kuishi maisha flani classic.

Yaani ni life simple tu,huku hakuna ambaye anajua kwamba unamiliki utajiri mkubwa namna hiyo.

Ishu inakuja vijana wa sasa hivi sisi wengi tunataka kutumbua maisha ili tuonekane kwamba tunazo,hatuna ile roho ya kuficha mafanikio yetu,tunataka tukioata kila mtu atuheshimu na ajue kwamba pesa ipo ili wasituchukulie poa.

Kumbe kuna watu ambao wakizipata wataejdelea kumaintain their normal life na wakaendeleza uhusiano na watu ambao walikuwa nao mwanzo
 
Labda wanawaza wapate trillions of money. Wengine tunataka basic life tu. Nyumba kali, usafiri na spare time with family. Ila yote haya bila uchumi imara hamna kitu utafanya.

Ndio hapo Sasa ukiwa na malengo ya basic life hizo billions utazisikia tu.

Hapo hapo Kwa kipato unachokipata wewe Kuna mtu anasema akiwa na Hali kama Yako amemaliza biashara, anaacha dhambi zote, kazi yake inakua ibada tu.
 
Ila kuna hii ishu ya kuwa kijana wa 20s na early 30s na kuwa na pesa nyingi na kifo hasa ajali

Sometimes nawazaga Mungu anakupa vitu kwa wakati sahihi ili usije ukapotea
Mfano mimi Baba Nla kwa umri wangu huu nipate Range yangu saafi aisee 😀😀 sitaona vibao vya 50Kph😂😂 matokeo ni nini...

Marehemu alikua bado kijana😄😄
VIjana wengi sisi tunaponzwa na sifa za kijinga.

Let say kijana ana 10B kwenye akaunti basi itamuwasha ataanza bata za gharama ili atie heshima mjini,ataanza majigambo na kiburi.

Ataanza kutafuna toto za mjini zoote huku akisahau kwamba kuna magonjwa hatari yasiyotibika kirahisi ama yasiyotibika kabisa.

Ila kama vijana tutaweza Kuuchukukia utajiri kama kitu cha kawaida basi tunaweza kuishi maisha marefu sana.

HIi Ya kuuchukulia utajiri kama kitu cha kawaida ndio inawafanya baadhi ya matajiri kurithisha utajiri wao vizazi na vizazi.

Utakuta mtu unaambiwa huyu jamaa utajiri ni wa babu yake,why utajiri wa babu umewafika wajukuu ?

Ni kwa sababu wajukuu walilelewa katika mazingira ya kuhandle utajiri na KUUONA KITU CHA KAWAIDA. Hivyo wataweza kuuendeleza kwani wanaumudu kwa sababu huwezi kukiendeleza kitu usichoweza Kukimudu.
 
VIjana wengi sisi tunaponzwa na sifa za kijinga.

Let say kijana ana 10B kwenye akaunti basi itamuwasha ataanza bata za gharama ili atie heshima mjini,ataanza majigambo na kiburi.

Ataanza kutafuna toto za mjini zoote huku akisahau kwamba kuna magonjwa hatari yasiyotibika kirahisi ama yasiyotibika kabisa.

Ila kama vijana tutaweza Kuuchukukia utajiri kama kitu cha kawaida basi tunaweza kuishi maisha marefu sana.
Well said mkuu 👏
 
Wanaosema hela hazileti furaha mimi ntabishana nao sana,kuna kitu kinaitwa "financial freedom" ,achana kabisa na hicho kitu aisee! yaani maana yake haimaanishi kuwa tajiri kama Jeff Bezzos au Elon Musk,no yaani ni kuwa na uwezo wa kumudu kifedha mahitaji yote ya msingi mfano ada za watoto,chakula,nyumba,mafuta ya gari na service (kama lipo),matibabu,kuweza kuhudumia wazazi na wazee wako wengine kijijini(shangazi,mjomba nk.),kuweza kuweka akiba inayokua mara kwa mara,kuwa na ziada ya fedha kiasi cha kutembea na pocket money.ukifikia level hiyo ya maisha halafu huna furaha basi inakupasa uwatafute wataalamu na saikolojia wakusaidie kukupa mchanganuo wa mawazo yako.
 
Kwa sisi tunaofuatilia Budhism kuna hii inaitwa Noble Truths:
1. Life is suffering (Dukkha) – our desires and expectations do not conform to the reality of the world, which is in a constant state of flux (Anicca), so we experience Dukkha.

2. The origin of suffering is attachment – not only do we fail to know reality but we mis-know it. We attribute permanence to impermanence. The physical universe is constant change, but we know it as permanent – change is the only thing there is. Our ideas, the objects that surround us, and our perceptions, are all transient. Even our idea of “self” is a delusion since there is no permanent self. Craving and clinging to these inevitably leads to suffering.

3. It is possible to end suffering in this life – Like the moksha in Hinduism, nibbana can be realized in life, through discipline and effort. Nibbana means freedom from troubles, worries, ideas, and the annihilation of the illusion of the self where one understands Dhamma – the Buddha’s teaching and becomes an arahant.

4. The path to cessation of suffering – The Middle Way – is a path between the extremes of clinging and aversion, both expressions of attachment, arriving at a state of complete equanimity. It is achieved through the Eightfold Path.
 
Back
Top Bottom