Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Walau 13-15 Billions zitanitosha kuwa naamkia gym na kula vizuri kwa milo mitatu ya siku huku nikipata muda mzuri wa kupumzika.Unahitaji pesa au mpunga kiasi Gani ili uwe nafuraha Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walau 13-15 Billions zitanitosha kuwa naamkia gym na kula vizuri kwa milo mitatu ya siku huku nikipata muda mzuri wa kupumzika.Unahitaji pesa au mpunga kiasi Gani ili uwe nafuraha Mkuu?
Kamilize Mo atakupa jibu mzee babaHuyo mtu atakuwa na shida basi, yani niamke kwenye account kuna yangu salio linasoma billion 13. Hivi naanzaje kuwa na makasiriko na huzuni?
Internet ipo ya kutosha, naishi comfortable. Siwazi ada za watoto wala kodi ya nyumba. Siumwi chochote mwili wangu uko sawa.
Mo anahangaika na vitu vingi. Mimi ntanunua Treasury bonds za BOT hata za 7B kisha nitulie zangu niendelee kula mema ya nchi. Sihangaiki tena bali pesa itanihangaikia hadi siku narudisha namba. Migao yangu nanunua shares za kampuni tu yani siji involve na biashara za moja kwa moja.Kamilize Mo atakupa jibu mzee baba
Walau 13-15 Billions zitanitosha kuwa naamkia gym na kula vizuri kwa milo mitatu ya siku huku nikipata muda mzuri wa kupumzika.
Labda wanawaza wapate trillions of money. Wengine tunataka basic life tu. Nyumba kali, usafiri na spare time with family. Ila yote haya bila uchumi imara hamna kitu utafanya.Kuna watu Wana pesa zaidi ya hicho kiasi na hawana furaha Mkuu.
There is no such thing as uhuru wa kifedha hapa duniani tena more money nd kifungo zaidi na zaidi. Kwanza aina ya marafiki inachange from nkipata b15 tu ntakuwa na furaha na story za namna hiyo kwa watu unaokuwa nao around to nna b15 bank natakiwa nifanye nini. Unakuja kugundua it's lonely at this level may be I need more and more and more and more and the cycle continues. Unaanza kujiuliza what happens to my money when I die? Ulihis watu hawakuheshim sababu huna kiasi fulani now unacho ila marafiki zako sio wale wa mwanzo tena so unaokuwa nao sasa hawakuheshimu vile vile more depression. Sina hakika sana ila binadamu anaechase maisha anaweza kuwa na uwezekano mkubwa wa kushukuru kwa kila hatua atakayopiga milele na kujiongezea furaha kuliko mtu ambae shukrani yake alishaimaliza kwa kuhisi anaweza kuafford kila kitu.Mi sitaki utajiri ila nataka uhuru wa kifedha
Mkuu mimi ntaishi maisha yangu haya haya. Kama huamini we niingizie hio hela kwenye account yangu uone kama ntapotea hapa jf. 🤣Mkuu Extrovert suala la kuwa na B15 ni mchakato and the time unafikia hiyo pesa unakuja kugundua huwezi ishi life la kawaida unalotaka wewe.
Ukijifunza vitu kwa wahusika wa hivyo vitu utajikuta una amani sana ya moyo.
Mhubiri anasema " Yote ni ubatili na kujilisha upepo" means alipewa vyote alivyotaka ila bado hakupata ile kitu ya kukonga moyo
WeeeeeeeeMkuu mimi ntaishi maisha yangu haya haya. Kama huamini we niingizie hio hela kwenye account yangu uone kama ntapotea hapa jf. 🤣
Fanya kweli mkuu, 9-5 job inaboa sana ila hatuna jinsiWeeeeeeee
Kwa sauti ya Cado kitengo
😂😂😂
FafanuaKwa maneno rahisi furaha ni subjective sio destination!!!
Hiki ndicho kitu ambacho wadau wengi hawajakinote katika point zako.Mkuu mimi ntaishi maisha yangu haya haya. Kama huamini we niingizie hio hela kwenye account yangu uone kama ntapotea hapa jf. 🤣
Labda wanawaza wapate trillions of money. Wengine tunataka basic life tu. Nyumba kali, usafiri na spare time with family. Ila yote haya bila uchumi imara hamna kitu utafanya.
VIjana wengi sisi tunaponzwa na sifa za kijinga.Ila kuna hii ishu ya kuwa kijana wa 20s na early 30s na kuwa na pesa nyingi na kifo hasa ajali
Sometimes nawazaga Mungu anakupa vitu kwa wakati sahihi ili usije ukapotea
Mfano mimi Baba Nla kwa umri wangu huu nipate Range yangu saafi aisee 😀😀 sitaona vibao vya 50Kph😂😂 matokeo ni nini...
Marehemu alikua bado kijana😄😄
Well said mkuu 👏VIjana wengi sisi tunaponzwa na sifa za kijinga.
Let say kijana ana 10B kwenye akaunti basi itamuwasha ataanza bata za gharama ili atie heshima mjini,ataanza majigambo na kiburi.
Ataanza kutafuna toto za mjini zoote huku akisahau kwamba kuna magonjwa hatari yasiyotibika kirahisi ama yasiyotibika kabisa.
Ila kama vijana tutaweza Kuuchukukia utajiri kama kitu cha kawaida basi tunaweza kuishi maisha marefu sana.