Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oakya. SubTopicFuraha halisi ni ile inayotoka ndani ya moyo na hii haihusiani na kuwa na vitu vya nje bali inatokana na kujitambua wewe ni nani na unapaswa kufanya nin hapa duniani. Kwa maana nyingine ni kulitambua kusudi la wewe kuwepo duniani na kutumikia lile kusudi
Hii comment inanipa mawazo sana..Basi tumeumbwa tofauti sana yani, mimi kuna mambo nayataka maishani nikifanikiwa hayo wala sitohangaika tena. Ni kula bata hadi uzee tu na kubwa kuliko ni "Mpunga" au "Pesa" ya uhakika hilo ndio la muhimu.
Hayo mengineyo yatakuja yenyewe tu as long as grassess are greener.
Mawazo gani hayoHii comment inanipa mawazo sana..
Mkuu nimewaza sana kwamba haya maisha lazima ujiwekee malengo kwamba nikishafika hatua hii kuna mambo lazima yaniepuke.Mawazo gani hayo
Eeh mkuu hio ndio lengo mkuuMkuu nimewaza sana kwamba haya maisha lazima ujiwekee malengo kwamba nikishafika hatua hii kuna mambo lazima yaniepuke.
Ni kama mtu anavyosema akishapata masters hataki tena kusoma maana yake huyo mtu ameshajiweekea upambanaji lengo lake ameshalijua.
The same to this isseu mkuu,13B kibongobongo na kiulayaulaya unatumia mpaka umauti