Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

Furaha halisi ni ile inayotoka ndani ya moyo na hii haihusiani na kuwa na vitu vya nje bali inatokana na kujitambua wewe ni nani na unapaswa kufanya nin hapa duniani. Kwa maana nyingine ni kulitambua kusudi la wewe kuwepo duniani na kutumikia lile kusudi
 
Oakya. SubTopic

Najuaje kusudi langu mkuu ?
 
Chinedu5 kuna uzi niliona umezungumzia ishu ya furaha,naomba ipitie hii kisha uweke neno
 
Basi tumeumbwa tofauti sana yani, mimi kuna mambo nayataka maishani nikifanikiwa hayo wala sitohangaika tena. Ni kula bata hadi uzee tu na kubwa kuliko ni "Mpunga" au "Pesa" ya uhakika hilo ndio la muhimu.

Hayo mengineyo yatakuja yenyewe tu as long as grassess are greener.
Hii comment inanipa mawazo sana..
 
Mawazo gani hayo
Mkuu nimewaza sana kwamba haya maisha lazima ujiwekee malengo kwamba nikishafika hatua hii kuna mambo lazima yaniepuke.

Ni kama mtu anavyosema akishapata masters hataki tena kusoma maana yake huyo mtu ameshajiweekea upambanaji lengo lake ameshalijua.

The same to this isseu mkuu,13B kibongobongo na kiulayaulaya unatumia mpaka umauti
 
Eeh mkuu hio ndio lengo mkuu
 
You will have your freedom but you won't take it...fikirishi sana hii.
 
Ina maana gani ?

Why having isiwe nndio kutake ?😀

Yaani kwa nini isiwe kule kuwa na uhuru na kuutumia utakavyo ndio kuuchukua kwenyewe ?
 
Back
Top Bottom