Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

Ndugu, mimi naomba yeyote aliejenga kile ki "temperature controlled room" for hydroponics anishauri contact za watu wanaoweza kunijengea na kuniuzia zile photo-chemically treated trays. my email is moses.palela@gmail.com
 
 
Nitajaribu kutoa somo angalau wadau wapate ABC za kuanzia huu ni ujuzi
 
Hii nzuri wakuu Wa kazi ila niambie Kwa kiswaili oats ni nini na barley nini?
 
nusu ya watanzania tungekua hivi/kutumia electronics zetu kutafta maarifa haya..hakika tungekua mbali?
dah kwel asee. yan najilaum sana kwann cikuijua JF mapema coz mengi nimeanza kuyajua
 
nusu ya watanzania tungekua hivi/kutumia electronics zetu kutafta maarifa haya..hakika tungekua mbali?
dah kwel asee. yan najilaum sana kwann cikuijua JF mapema coz mengi nimeanza kuyajua
 
kaka Martin,

Mimi Najaribu kupata mtu yeyote anaepractice hii hapa dar es salaam, anishauri jinsi anovyo kabiliana na joto la nov-march.
natamani kujua cost effective way ya kujenga the Hydroponic fodder Unit na kupata trays
 
Hii kitu nahitaji nutrients zake kwa tz tunaweza pata wapi?
 
Ahsante sana Chasha na biashara2000 kwa maarifa mlionipa ya hydroponic fodders kuku wangu wameila kwa mara ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…