Mamboz !
Mimi nina maswali naomba tusaidiane kuyajibu
Nina Ng'ombe 3 wa Maziwa ambao kila mmoja anatakiwa apate kati ya kg 25 mpaka 30kg za chakula Maswali
1. Jee tengeneza HF system ambayo inaweza kuwalisha Ng'ombe wote 3 kila siku ?
2. Jee HF inajitosha au nitahitaji kuongeza chakula kingine kama kwa Kuku ?
3. Tray ya ukubwa gani naweza weka 1 Kg ya Ngano, Uwele, Mtama, Shayiri, Ulezi, Mbaazi na Mahindi ?
4. Nini ratio ya boosters(mbolea) ukichanganya kwa maji
5. Nikiwa nahitaji takriban kg 90 za HF kila siku Mahesabu yake yatakuwaje
× Nitahitaji tray za ukubwa gani ?
× Nitahitaji mbegu kg ngapi?
× Nutrients/boosters kiasi gani ?
Shukran
Sent using
Jamii Forums mobile app