Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

Mkuu hii ya kuosha kwa kutimia maji ya limao unafanyaje?
 
Samahani paka kuanza mradi kama huu unahitaji mtaji wa kiasi gani
 
soma online, ila hata ukisoma kuna kuna vitu ni lazima uwe navyo au utafute, ni techinolojia nzuri sana na kwangu ndo naanza instalation yake
tupe mrejesho mkuu, attach picha tuone instalation yake ikoje maana hapa kwetu hii ni kitu mpya kiasi ila kwa wenzetu wa Kenya nadhani wameimp[rove sana
 
Habari, napenda kufahamu kama kuna ameshafanya installation ya hydroponic fodder kwa DSM ama Maeneo ya Kibaha, nahitaji kujifunza na ikiwezekana nione jinsi ilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa Mkuu umeona mbali sana yaani hata Baba yako anaweza kukutia kauzibe usimzidi
 
kwa sehemu zenye shda ya maj hii inawezekana kwel? kiongoz
 
apo nakupata kumbe mbegu ni hz hz mtama ulez ngano sasa utawalsha majan kama apo pchan kangaa wakila majan au mpaka mavuno kwamba uvune mtama au ngano
 
Mkuu ucahnganyaji wa hivo virutubisho (vipimo) inakua kwa kiasi kipi kwa ujazo gani?
 
Asante sana kwa elimu hii. Nimepitia uzi wote na kutafuta taarifa zingine. Hii kitu nimegundua unaweza ifanya kwa kutumia resources ulizonazo.

Ninafanya majaribio kwa kilo mbili hizi za ngano nione matokeo yake yakoje.

Process nayotumia

1. Kuloweka ngano kwa masaa 4 ili kutoa uchafu wa nafaka isiyofaa. Ukiloweka uchafu unaelea, unautoa.

2. Vundika kwa masaa 48-INCUBATION. Unapovundika hakikisha unatumia ndoo ya plastic ili kuepusha kutu. Na iwe na matundu juu kwa ajili ya kupitisha hewa, sababu process hii inahitaji hewa ya oxygen.

3. Baada ya masaa 48. Unaanza kuotesha.

Unatumia tray ya plastic au aluminium(kuepusha kutu). Unapojaza tray, mjazo wa mbegu usizidi nusu inch, na pia tray isizidi inchi 2. Eneo halipaswi kuwa giza na lisipate mwanga wa moja kwa moja. Unakuwa unazinyunyuzia maji kila baada ya masaa matatu, day time, ili kupata unyevunyevu. Tray iwe na matundu pembeni upande mmoja ili maji yatoke. Kuepusha fungus.

Mategemeo baada ya siku Nne unaweza anza wapa kuku.

Nitatoa mrejesho kadri navyoendelea.

Nililoweka jana saa 5 asubuhi na kuvundika saa 9 mchana. So kesho saa 9 mchana masaa 24 yatakuwa yamekamilika. Nategemea kuotesha.
 
NAUZA BIASHARA YA CAR WASH:

LOCATION: KINONDONI BLOCK 41
NAMBA YA SIMU: 0717 26 33 77

MAELEZO:

MACHINE ZOTE, UJENZI, VYOMBO, SIMTANK, KODI n.k JUMLA: TZS 7,000,000
NIMEBAHATIKA KUPATA KAZI SERIKALINI NA KITUO CHANGU KIKO MKOANI, SO NIMEAMUA KUUZA HII BIASHARA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…