Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

Tunatengeneza na kuuza mbao za plastiki na nguzo za plastiki, mbao zetu ni nzuri, haziozi, hazibunguliwi wala kuliwa na mchwa.ni nzuri kwa wafugaji kwa kutengeneza mabanda ya kuku, zizi la ngombe,fensi ya nyumba, na fensi ya bustani, kwa mawasiliano tunapatikana kwa namba 0757671874 whatsapp, barua pepe amtatina@ecoact.co.tz
 
Safi sana wadau, hii kitu nafikiri unaweza kuifanya mwenyewe bila kununua expensive materials ni swala la kuwa mbunifu tuu, wengi wameeleza namna ya kufanya hii kitu na kwa zaidi angalia youtube videos kuna namna nyingi tuu za kufanya hii kitu, cha muhimu ni maji, mbegu na akili yako yako tuu
 
Hukuleta matokeo mkuu..!
 
Niliwahi kufanya, ngoja nirudie View attachment 2123931
Day......1: soaking
 
Ilo zao linapatikan wap kiongoz
 
Niko kimya kwa sababu, kwa mazingira ya sasa sio rahisi kuzalisha Hydroponic na ikapunguza gharama, na sababu ni kwamba nafaka hasa Shayri ni ghari sana. Ili uweze kweli kupunguza gharama inabidi shayri au ngano ununue kwa sh 300 hadi 400 kwa kilo, Tofauti na hapo hakuna tija kabisa
 
Naitajii hydroponic fertilizer 0714779185
 
Wadau, ni kampuni zipi kubwa ambazo naweza agiza vifaranga wa kuku chotara (F1) ?
 
Licha tu ya kupunguza gharama ya ufugaji, sababu chakula kinagharimu sana katika ufugaji wa wanyama tunaofugia ndani. Ila faida kubwa zaidi ni katika upatikanaji wa viinilishe vyote muhimu, ambavyo vitawezesha mnyama kuwa na afya bora pamoja na kukua vizuri. Na zaidi, mazao yote yatokanayo na hydroponics, huwa yapo katika viwango bora hasa kuzingatia afya ya mlaji na hata ladha nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…