Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,598
Ahsante sana kwa kunisahihisha! Ila niliambiwa booster / nutrients zenye salfa ni hatari kwenye mifugo. Hivyo niliziogopa kuzitumia.Kwanza nutrients ulo tumia inaitwa DI grow green na sio ID grow.
Zingatia tu hali ya hewa na joto ya mahali unapozalishia ndo jambo la msingi Sio lazima hutumie hyo unaweza tumia booster yoyote ya majan itasaidia kuyakimbiza yakue vyema mimi nastawisha na hata situmii hzo nutrients kutumia nutrients ni kujarbu kuzikimbiza tu ziwah kukua ndan ya muda mfupi ziwe kubwa.
Safi na hongera sana