Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,598
bIG UP MAN OF JAH![emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ndo ivyo mkuu ukijiongeza unatengeneza vitu vya maana kwa garama ndogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bIG UP MAN OF JAH![emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ndo ivyo mkuu ukijiongeza unatengeneza vitu vya maana kwa garama ndogo
Nipe e-mail yako nikutumie step by step procedures.Nataka kujua namna ya kutengeneza chakula kwa ajili ya nguruwe na nutrients za kufanya wakue haraka
Asante sana, nakutumia kupitia PMNipe e-mail yako nikutumie step by step procedures.
Vyote mkuu nahitajiKuwa wazi / funguka, nikusaidie kwenye nni? mbegu, nutrients, procedures au nini?
Send me your e-mail address plsVyote mkuu nahitaji
Kwa kuku unawapa kabla hayatimiza siku 6... wanyama ndio siku 6 na kuendelea yakiwa magumu kidogoMimi huwa natumia maji ya kawaida, mbegu nimeshatumia ulezi, mtama na ngano. Kwa majaribio yangu, kilo moja ya ulezi ya mbegu imenipatia kilo 5 za majani baada ya siku 8. Mtama unakua haraka kuliko ulezi lakini kwa uzito ulezi unakuwa mzito kuliko ulezi. Ngano inakuwa haraka kuliko mtama na ulezi, Kuku wangu hawakuipenda sana maana baada ya siku 6 tu, majani yske yalikuwa magumu kuliko hizo mbegu zingine!
Vifaa, natumia ungo na trey za mbao nilizoweka gunia za kawaida!
Mkuu unatumia nutrients gani naomba msaada tafadhali kama hutojali share na Mimi kwa email kasangit@gmail.com
Mkuu kwani kuna ulazima wa kutumia hizo nutrients? Na wapi tutapata hizo tray za kuotesheaMimi nimelifanyia kazi na kuhusu gharama sio kubwa kivile. Nutrients nilinunua lita moja Tshs. 54,000/= Water purifier nimenunua lita moja Tshs 12,000/= Mbegu nanunua kila ninapotaka kutengeneza. Na hii ni kulingana na idadi ya mifugo niliyo nayo. Ila leo nataka kujaribisha zao jingine tofauti na chakula cha kuku na tayari nimeishapata horodha ya mahitaji.
Mkuu nimependa huo utaalam wako, kumbe hata ungo waweza otesha hii kitu. Hapo kwenye vitalu vya mbao umeweka nn kwa chini kiongozi?Hii kitu wala ainashida sana otesha kwa vifaa ulivyo navyo namatokeo yanakua mazuri sana kama mm
Kwa kuku usisubiri siku zote hizo, kuku wanahitaji majani laini. Hivyo kila mbegu na mfugo una siku zake za kustawisha. Mimi kwa ulezi niliwapatia baada ya siku 8, mtama nimewapatia baada ya siku sita. Ngano sijawapatia bado naona inaendelea kustawi na nikiijaribu bado ni laini tu!Mimi huwa natumia maji ya kawaida, mbegu nimeshatumia ulezi, mtama na ngano. Kwa majaribio yangu, kilo moja ya ulezi ya mbegu imenipatia kilo 5 za majani baada ya siku 8. Mtama unakua haraka kuliko ulezi lakini kwa uzito ulezi unakuwa mzito kuliko ulezi. Ngano inakuwa haraka kuliko mtama na ulezi, Kuku wangu hawakuipenda sana maana baada ya siku 6 tu, majani yske yalikuwa magumu kuliko hizo mbegu zingine!
Vifaa, natumia ungo na trey za mbao nilizoweka gunia za kawaida!
Vifaa vyote vinakubali, ila tunachokiangalia ni uimara. Ungo zinazoza baada ya mda mfupi. Plastic zinalika / inaoza, hivyo baada ya muda kuna uwezekano mifugo ikawa imekula particles za plastic ambazo ni hatari kwa mifugo. Alminium hailiki kiraisi, inadumu na haina madhara kwa mifugo.Mkuu nimependa huo utaalam wako, kumbe hata ungo waweza otesha hii kitu. Hapo kwenye vitalu vya mbao umeweka nn kwa chini kiongozi?
Trei zipo, Tshs. 7,000/= kama unahitaji tuwasiliane. Mi niko Mwanza city. Nutrients sio lazima ila ni muhimu kwa sababu ndo hizo zinazotumika pia kuboresha afya ya mifugo. Ndiyo maana unashauriwa kutumia zenye NPK, hizi ni muhimu sana kwenye ukuaji wa mmea na mifugo pia.Mkuu kwani kuna ulazima wa kutumia hizo nutrients? Na wapi tutapata hizo tray za kuoteshea
Unapatikana mkoa gani mkuu?Kiukweli ukikutana na mtaalam wala hautatumia muda mwingi kuelewa kinachoendelea. Mimi atakayehitaji maelezo namkaribisha - tena hatua kwa hatua. Kikubwa ni kuandaa muda wa kupeana maelekezo. Ukifanikiwa wewe unakuwa umesaidia jamii.
Ipa plastic si mbaya kwa afya ya wanyama. Leo nimeanza rasmi kutumia tei za aluminium.Hii kitu wala ainashida sana otesha kwa vifaa ulivyo navyo namatokeo yanakua mazuri sana kama mm
Uko maeneo yapi? Hiyo ni booster isiyo na madhara kwa mimea na mifugo. Kama vipi sema nikutumie ulipo.Mkuu npk napata wapi tafadhali
Niko Mwanza mjini, Igoma!Unapatikana mkoa gani mkuu?
Mkuu Asante nipo singida njoo pm mkuuUko maeneo yapi? Hiyo ni booster isiyo na madhara kwa mimea na mifugo. Kama vipi sema nikutumie ulipo.
Pm hakuna kitu, Singida ni karibu sana na nilipo Mwanza.Mkuu Asante nipo singida njoo pm mkuu