Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

Mimi huwa natumia maji ya kawaida, mbegu nimeshatumia ulezi, mtama na ngano. Kwa majaribio yangu, kilo moja ya ulezi ya mbegu imenipatia kilo 5 za majani baada ya siku 8. Mtama unakua haraka kuliko ulezi lakini kwa uzito ulezi unakuwa mzito kuliko ulezi. Ngano inakuwa haraka kuliko mtama na ulezi, Kuku wangu hawakuipenda sana maana baada ya siku 6 tu, majani yske yalikuwa magumu kuliko hizo mbegu zingine!
Vifaa, natumia ungo na trey za mbao nilizoweka gunia za kawaida!
 
Kwa kuku unawapa kabla hayatimiza siku 6... wanyama ndio siku 6 na kuendelea yakiwa magumu kidogo
 
Mimi nimelifanyia kazi na kuhusu gharama sio kubwa kivile. Nutrients nilinunua lita moja Tshs. 54,000/= Water purifier nimenunua lita moja Tshs 12,000/= Mbegu nanunua kila ninapotaka kutengeneza. Na hii ni kulingana na idadi ya mifugo niliyo nayo. Ila leo nataka kujaribisha zao jingine tofauti na chakula cha kuku na tayari nimeishapata horodha ya mahitaji.
Mkuu kwani kuna ulazima wa kutumia hizo nutrients? Na wapi tutapata hizo tray za kuoteshea
 
Hii kitu wala ainashida sana otesha kwa vifaa ulivyo navyo namatokeo yanakua mazuri sana kama mm
Mkuu nimependa huo utaalam wako, kumbe hata ungo waweza otesha hii kitu. Hapo kwenye vitalu vya mbao umeweka nn kwa chini kiongozi?
 
Mimi huwa natumia maji ya kawaida, mbegu nimeshatumia ulezi, mtama na ngano. Kwa majaribio yangu, kilo moja ya ulezi ya mbegu imenipatia kilo 5 za majani baada ya siku 8. Mtama unakua haraka kuliko ulezi lakini kwa uzito ulezi unakuwa mzito kuliko ulezi. Ngano inakuwa haraka kuliko mtama na ulezi, Kuku wangu hawakuipenda sana maana baada ya siku 6 tu, majani yske yalikuwa magumu kuliko hizo mbegu zingine!
Vifaa, natumia ungo na trey za mbao nilizoweka gunia za kawaida!
Kwa kuku usisubiri siku zote hizo, kuku wanahitaji majani laini. Hivyo kila mbegu na mfugo una siku zake za kustawisha. Mimi kwa ulezi niliwapatia baada ya siku 8, mtama nimewapatia baada ya siku sita. Ngano sijawapatia bado naona inaendelea kustawi na nikiijaribu bado ni laini tu!
 
Mkuu nimependa huo utaalam wako, kumbe hata ungo waweza otesha hii kitu. Hapo kwenye vitalu vya mbao umeweka nn kwa chini kiongozi?
Vifaa vyote vinakubali, ila tunachokiangalia ni uimara. Ungo zinazoza baada ya mda mfupi. Plastic zinalika / inaoza, hivyo baada ya muda kuna uwezekano mifugo ikawa imekula particles za plastic ambazo ni hatari kwa mifugo. Alminium hailiki kiraisi, inadumu na haina madhara kwa mifugo.
 
K
Mkuu kwani kuna ulazima wa kutumia hizo nutrients? Na wapi tutapata hizo tray za kuoteshea
Trei zipo, Tshs. 7,000/= kama unahitaji tuwasiliane. Mi niko Mwanza city. Nutrients sio lazima ila ni muhimu kwa sababu ndo hizo zinazotumika pia kuboresha afya ya mifugo. Ndiyo maana unashauriwa kutumia zenye NPK, hizi ni muhimu sana kwenye ukuaji wa mmea na mifugo pia.
Ninachokisubiria ni namna zinavyoweza kuwakuza haraka vifaranga tofauti na mashes za kawaida. Natarajia kuwa na vifaranga tarehe 12 Feb. 2017; hivyo kila hatua nitakayokuwa nafikia nitawajulisheni waungwana.
 
Kiukweli ukikutana na mtaalam wala hautatumia muda mwingi kuelewa kinachoendelea. Mimi atakayehitaji maelezo namkaribisha - tena hatua kwa hatua. Kikubwa ni kuandaa muda wa kupeana maelekezo. Ukifanikiwa wewe unakuwa umesaidia jamii.
Unapatikana mkoa gani mkuu?
 
Hii kitu wala ainashida sana otesha kwa vifaa ulivyo navyo namatokeo yanakua mazuri sana kama mm
Ipa plastic si mbaya kwa afya ya wanyama. Leo nimeanza rasmi kutumia tei za aluminium.
 
Back
Top Bottom