Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Unamrudisha mtu Mohadishu leo halafu unasema umefanya ubinadamu!Kenya tuliwasaidia jamaa hawa wakapata Provisional Constitution, tukawasaidia kutengeneza bunge, hapo tukazidi kuhusika katika kuhakikisha uchaguzi wakapata rais na waziri mkuu. Tumewakomesha maharmia waliokuwa wanawasumbua. Wengi wamerudi nyumbani kwa hiari yao.
Hivi sasa tumewapa wengi uraia wanaotaka na wengi sasa ni raia na wanahusika katika ujenzi wa taifa. Wengi wa wakimbizi wanatamani sana kurudi lakini kwa mikakati na ndipo serikali yao ndio inaongoza kwa hili. Kenya hatuna kauli za kuwapakia wahamiaji kwenye malori kwa hasira. Mambo haya yanafaa kufanywa kwa jinsi za kibinadamu.
Maisha ya westgate kwa siku 5 ndiyo maisha ya Mogadishu kila siku, sasa unapowapeleka westgate ya mogadishu kwa hisani huo ndio ubinadamu kweli.
Sisi tumekaa na wakimbizi milioni 2 kwa miaka 5. Tukawapa uraia.
Wale waliokataa wakakimbia msituni na kuleta vurugu za ujambazi tuliwapakia katika malori na kuwabwaga kwao.
Huo ndio ubinadamu kinyume chake walitakiwa wafungwe kwa kuishi isivyo halali.
Uninadamu anao Mtanzania aliyemsaidia msumbiji siyo mkenya aliyechochea vurugu kwa kumsaidia RENAMO
Ubinadamu anao Mtanzania alimsaidia south Afrika siyo Kenya alisaidiana na kaburu.
Katika suala la ubinadamu Kenya haina historia hata ya bahati, pengine ya unafiki.
Kwa hili Kenya wakubali kuwa ni wanafiki wazuri san