Hypocrite Kenyans to repatriate somalians

tz is becoming the only bastard child in eac
Mkuu Kabaridi, on the contrary Tanzania is a PURE breed within EAC - remember unlike unpredictable RWANDA, Tanzania is founder Member of EAC consequently M7 and PK can't afford 2 dismiss our Motherland offhand just like that and expect 2 get away scot-free, one more thing - Tanzania is smarter in both Diplomacy and Military DOMAINS. Our leaders are MEGA-SMART UPSTAIRS all they did 2 contain haywire M7 and PK was to give/provide them with enough rope 2 .......themselves. See - Mr Kabaridi PK and M7 are no longer speaking on the same wavelength; PK is now accusing his Comrade-in-arms one M7 of being a TRAITOR - would you believe IT!!
 
yes tz are hypocrites, while their immediate neighbours rw burundi were in turmoil, they were they were forging alliances with the south
Oh I see! Mkuu Kabaridi have you forgotten that Kenyans (Govt) were FAST ASLEEP! In other words do Kenyan Govt have a track record of helping fellow Africans to liberate themselves - what did you people contribute towards liberation struggle both phsically and morally "NOTHING" - to put it mildly your first phase GOVT was a disgrace to our Continent - repeat a DISGRACE!! Kinacho shangaza nyinyi bila ya aibu ndio mnakuwa mstari wa mbele kutaka kuwekeza/fanya biashara na nchi ambazo amukuwahi kuwasaidia chochote kwenye ukombozi wao - mnajali zaidi maslahi kuliko ubinadamu - I am sorry kulisema hilo, na tabia hizi ndio zinaendelea katika Jumuhia ya Africa Mashariki.
 
Mkuu usisahau Kenya tunajali maslahi ya wananchi na amani, bila amani hakuna taifa itapiga hatua. pengine tz kuspport vita vya DRC ndio imefanya Afrka mashariki kulegea kimaendeleo. when it comes to true liberation, kenya has set the benchmarks, hoping that our neighbors within the EAC can learn a thing or two from new south sudan and current somalia and opt for other means of resolving conflict other than a military solution.

usisahau most political parties in mozambique FRELIMO and even angola MPLA and RENAMO started as rebel/terrorist movements and dar-es-salaam port acted as a conveyer belt for obsolete CIA and soviet arms to southern africa rebel groups.

those at the forefront in supporting armed rebels were tanzania, uganda/idi amin, Nigeria, ghana..with TZ opening its borders to train and arm militia.

CC JokaKuu
 
..do u really believe kwamba utulivu na amani vimerejea Somalia?

..pia Tanzania ilikiuka sheria za kimataifa zinazohusu wakimbizi pale ilipotumia nguvu kuwarejesha wakimbizi toka Rwanda.

..wa-Kenya[wa-Tz] hawana haki ya kulalamika ikiwa raia wao amevuka mpaka na kuvunja sheria za Tanzania[Kenya].

remember kwamba no one is being forced to leave kenya. you forget before somalia refugees started fleeing to kenya after 1993 civil war an agreement was made to make them settle at daadab. so it is not illegal for somalia refugee to be in kenya before any repatriation excercise is complete only once the exercise is complete.

besided it is only the somali people that will reconstruct their land. it is not about fate here and they need courage indeed in plenty. Some PR groups have lost objectivity by creating despondency around the issue by going to eastleigh and whipping up unnecessary emotion
 
Mkuu usisahau Kenya tunajali maslahi ya wananchi na amani, bila amani hakuna taifa itapiga hatua. pengine tz kuspport vita vya DRC ndio imefanya Afrka mashariki kulegea kimaendeleo. when it comes to true liberation, kenya has set the benchmarks, hoping that our neighbors within the EAC can learn a thing or two from new south sudan and current somalia and opt for other means of resolving conflict other than a military solution.

usisahau most political parties in mozambique FRELIMO and even angola MPLA and RENAMO started as rebel/terrorist movements and dar-es-salaam port acted as a conveyer belt for obsolete CIA and soviet arms to southern africa rebel groups.

those at the forefront in supporting armed rebels were tanzania, uganda/idi amin, Nigeria, ghana..with TZ opening its borders to train and arm militia.

CC JokaKuu

..kweli wa-Kenya hamjitambui!!

..serikali ya Kenya kushirikiana na Apartheid South Africa na Renamo unasema ni ku-set a benchmark to true liberation??
 
Again, when did Rwanda deploy her troops in Somalia? See another falsehood here. Please research first Mkuu, don't just post for the sake of it.

..I meant to say Burundi...sorry for the confusion.

..lakini Kenya taifa kubwa lenye nguvu ya kiuchumi na kijeshi, hamuoni aibu kuwa nchi ndogo kama Burundi imepeleka majeshi kusitisha uasi in your own backyard??
 
Tumia wakati wako kufuatilia taarifa za habari za kimataifa kabla hujajibu. Visa vya uhalifu vimepungua na wengi wamechoka na vita. Wakimbizi watarudi kwa HIARI - elewa maana ya hilo neno. Hakuna kuwapakia kwa lazima bila huruma, ila ni hiari.

..baada ya UNHCR kuingilia kati ndiyo imeamuliwa wakimbizi watarudi kwa HIARI.

..nafuatilia habari za kimataifa na wakimbizi wameonyesha wasiwasi mkubwa kutokana na ukweli kwamba amani bado haijapatikana Somalia.

..Ethiopia imetoa tamko kwamba inapelekea majeshi Somalia, halafu unataka kutudanganya kwamba Somalia kuna amani?!
 
..I meant to say Burundi...sorry for the confusion.

..lakini Kenya taifa kubwa lenye nguvu ya kiuchumi na kijeshi, hamuoni aibu kuwa nchi ndogo kama Burundi imepeleka majeshi kusitisha uasi in your own backyard??

Last time i checked Kenya too had more than 4,600 troops in Somalia. It is the presence of these troops which proved to be a game changer in subduing the Al Shabaab. Uganda and Burundi too have played a big role which we all appreciate. Ethiopia will also be joining as part of AMISOM. We would welcome TZ also, but right now your hands are full sorting issues in DRC. This we appreciate for what you are doing is for the greater good. One thing though is that a Tanzanian will never appreciate anything good Kenya does.
 
..baada ya UNHCR kuingilia kati ndiyo imeamuliwa wakimbizi watarudi kwa HIARI.

..nafuatilia habari za kimataifa na wakimbizi wameonyesha wasiwasi mkubwa kutokana na ukweli kwamba amani bado haijapatikana Somalia.

..Ethiopia imetoa tamko kwamba inapelekea majeshi Somalia, halafu unataka kutudanganya kwamba Somalia kuna amani?!

UNHCR has been involved so that the whole exercise is done above board and in a manner that re-assures doubting Thomases such as you.
 
..I meant to say Burundi...sorry for the confusion...lakini Kenya taifa kubwa lenye nguvu ya kiuchumi na kijeshi, hamuoni aibu kuwa nchi ndogo kama Burundi imepeleka majeshi kusitisha uasi in your own backyard??
Mkuu, kama nilivyo wasema tangu mwanzo jirani zetu hawa wanajali sana MASLAHI, awana utamaduni wa kuwasaidia binadamu wenzao wanapo kuwa matatizoni - chukulia kuingia kwao Somalia kulisababishwa na kitu gani? Walingia huko baada ya maslahi ya kitalii nchini mwao kutishiwa na Al-Shabaab, narudia kusema bila ya watalii wa kizungu kuuwawa na kikundi cha Al-Shabaab nchini Kenya - Serikali ya Kenya isingejishughulisha na chochote cha kuleta Amani nchini Somalia, walishindwa na kanchi kadogo ka BURUNDI kanako jali binadamu wenzao!
 
Huyu Sezibera alitoa madai kuwa kuyumba kwa EA kunatokana na kuondoa wahamiaji haramu. Leo amekaa kimya hakanushi maneno ya JK.

Kenya keshapata mradi wake wa miundo mbinu kwa kutumia Rwanda na Uganda. Baada ya kazi hiyo sasa anarudi kusifia hotuba ya JK kana kwamba walikuwa hawajui nini kinaendelea. Manafiki wakubwa sana hawa.

Wamegundua kuwa partner wao ni Tanzania na kwamba huko kwingine wanahanagaika tu.

Raia wa Kenya na investors wamehoji sana kuhusu EA na kama Kenya inafanya maamuzi sahihi.
Nimesoma maoni ya wasomi wao wanasosema kuwa kutosa soko la watu milioni 43 kwasababu za kisiasa kutaumiza Kenya na si Tanzania.Manafiki hawa wamegeuga tayari kama walivyofanya suala la wahamiaji haramu.

Tanzania before Uganda? day dreaming
 
..kweli wa-Kenya hamjitambui!!

..serikali ya Kenya kushirikiana na Apartheid South Africa na Renamo unasema ni ku-set a benchmark to true liberation??
Dont think apartheid was abolished nyie ndio mnashiriki na apartheid right now
 
..ndiyo maana nasema wa-Kenya hamjitambui.

..unadai tunashirikiana na Apartheid right now?

..yaani wakina Mandela, Mbeki,Zuma, ni sawasawa na Hendrik Verwoerd, Pik Botha, Magnus Malan??

..kweli dunia ina mambo!!

NB:

..mbona Uhuru Kenyatta amekwenda huko kumlamba miguu Jacob Zuma??
 
I thought he went there on invitation. You say he went there to boot lick, you guys are quite funny really.
 
JokaKuu
Kenya has to step in and compromise with zuma and SA as africa will not be run in the same way, we are not getting back to the 60s and seventies where it was only liberated to more darkness. those like tz who have been carrying 'the liberation struggle have done so under enslavement and you believe what your masters feel to be right as right. you can truly liberate like mugabe did zimbabwe or you can liberate as being errand boys and girls for the westerners.
 
Last edited by a moderator:
Wewe unafanya spinning ambazo media za Kenya zimekuwa zinafanya kila siku.
Hadi sasa kuna wakimbizi wapo na wala hawajafukuzwa.

Hakuna taifa linaloweza kuishi na watu wasiojulikana wapo wapi wanafanya nini.
Hujawahi kuona madhara ya wahamiaji harama wanavyotes.

Marekani inarudisha wahamaiaji haram, Israel inarudisha wahamiaji harama. Uingereza imeweka sheria kali kuhusu wahamiaji haram. Juzi Norway imepakiza ndege nzima ya wasomali ambao ni wahamiaji haramu.
Kenya ilishawafukuza wahamiaji haram kutoka Isleigh, nilikuwa naishi South C by then, nimeona.

Whamaiaji harama walipaswa wafunguliwe mashtaka na wafungwe. Wale waliokutwa na silaha walipaswa ahabu kali zaidi ya kurudishwa kwa malori. NDio rtumeondoa wahamaiaji harama Kenya wanafuata kile kile walichokuwa wanakilaani.

Kuhusu human right Kenya haina moral authority yoyote mbele ya dunia kuzungumzia hilo.
Hakuna Mkenya mwenye ubinadamu isipokuwa aliyefariki. Period.

kumbuka vita kati ya tz na kenya imeegemea kwa ni nani atakaye miliki uchumi wa kanda wa AM, ndio ninona hii EAC haimfaidi yeyote. uchumi, land immigration and integration itasimamiwa na mpango mwingine kando na EAC.....repeating a lie severally only makes you a devils advocate...
there is more hope for the current somalia that sadc frontline states combined. kisa na maana somalia wamefanya uchaguzi wa kidemokraisa kinyume na tz inaowaburuza waasi kwenye meza ya mazungumzo na kuunda vyama za kigaidi kama renamo na frelimo zilizoanza kama kundi la magaidi tofauti ikiwa there were no negotiations when creating somalia.
rwanda and uganda has a right kuunda miundo mbinu na kuwa na mikataba ya kiuchumi na yeyote, tz should not bother. who is the elephant in the room?? does tz need to give rwanda and burundi permission to create their own economic blueprints, huo ukoloni ndio mambo leo ndio fikra wewe na tz inapaswa mujiepushe.
wakati huu tuko na makundi ya kutetea haki za binadamu zinazowafanya wakimbizi wa kisomali kuwa resentful of the hospitality kenya imewapa wakimbizi kwa muda mrefu duniani. mataifa mengine huwapa wakimbizi makao kama citizenship, ambao naamini kenya pia imefanya kwa wakimbizi wengi mpaka wameingia kwenye siasa na bado wanapendelea mandugu zao kukaa kwenye makambi kupokea chakula....
....ndio naona hakuna effect hata tz wakipiga domo kuiharibia kenya sifa yale wamefanyia wakimbizi hailinganishwi na taifa yeyote. somalia in comparison to burundi is larger, so do not brag about hosting a huge number of refugees. kama tz imewapa bunrundi makao, vile vile kenya imewapa idadi ya wakimbizi wengi wa kisomali citizenship na sio vyema pia kwa mtu asiye na habari kuhusu somalia ilivyo kusema hali ya amani bado kurejea somalia. tunapuzungumza mambo haya let us remain objective with a clear head. unapoenda mogadishu utakutaka mazingara yamebadilika na biashara zinaendelea. this was not possible three years ago but thanks to combined force ya amisom.
 
Wewe,
Ukumbwa wa nchi ya somali kulinganisha na burundi sio sababu ya kuona mlikuwa na mzigo mkubwa zaidi. Tanzania imekuwa na wakimbizi wa Burundi, Rwanda na Congo kwa nyakati tofauti. Sina idadi kamili lakini inawezekana wakawa wengi kuliko wasomali wakimbizi
 
Not true, most of you just dwell on lies. Why don't you google and give us the exact figures. Kenya has had refugees from Sudan, Uganda, Ethiopia ( Oromo ) and Somalia. Those from Somalia being more than half a million. Why don't just just accept facts without giving us this hot air business.
 
Wewe,
Ukumbwa wa nchi ya somali kulinganisha na burundi sio sababu ya kuona mlikuwa na mzigo mkubwa zaidi. Tanzania imekuwa na wakimbizi wa Burundi, Rwanda na Congo kwa nyakati tofauti. Sina idadi kamili lakini inawezekana wakawa wengi kuliko wasomali wakimbizi

let us use statistics. kuna somali walianza kama refugees na ambao sasa wameweza kujisimamia wenyewe kiuchumi...pamoja na statistic ya wale walio kambini 600,000-500,000 kila mwaka kwa zaidi ya miaka kumi na mitano. haya ndio mambo jamii ya kimataifa/donors inapaswa kuzingatia kwa mashirikiano ya kuwapa ardhi wakimbizi, ndio wale wale jamii moja bado wakati mwingine wanaoshirikiana na waasi na pia kutoa ufadhili kupitia mashirika ya msaada....
 
Back
Top Bottom