..juzi mlikuwa mnatu-condemn wa-Tz kwa kutimua illegals.
..sababu zenu zilikuwa expelling illegals goes against the spirit of integration of the EAC.
..thats why I am suprised by your decision to expel refugees frm Somalia.
..lakini hata kufukuza refugees ni contary na international laws zinazohusu watu wenye refugee status.
Ab-Titchaz,
..lakini umesahau jinsi Kenya na Rwanda walivyojifanya ni waalimu na wataalamu wa sheria za uhamiaji za Tanzania??
..hao waliokuwa wanatulaani kwa kuwaondosha wahamiaji haramu, majambazi, waharibu mazingira toka nchi jirani, leo na wao wanafanya kilekile ambacho sisi tulifanya. lakini baya zaidi wanafukuza wakimbizi, kitu ambacho ni kinyume na sheria za kimataifa.
..Kenya should practice what they have been preaching to Tanzania. wawape uraia na mapande ya ardhi wakimbizi wa Somalia waliopo Kenya.
Geza Ulole,
Tuko,
MUKAMASIMBA