Hypothetically, Rais akiangalia tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva taswira yake inakua imechafuka?

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ?

Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli?

IMG_7586.jpeg

Britanicca
 
Kikubwa muuaji amezomewa. Na hii iwe fundisho kwa hawa chawa kutaka kuingiza siasa kwenye starehe za watu, ilitokea kwa Msigwa kwenye mechi ya Simba lakini hawataki kujifunza. Jamani huyo Bimsumi hatakiwi na hapendwi
 
Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ?

Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli?

View attachment 3627478

Ikulu kabisa badala ya kuandika nia wanaandika nio!? Kweli aliye zoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi
 
Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ?

Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli?

View attachment 3627478

Britanicca
Kushangiliwa au kutoshangiliwa hakuhalalishi kwamba hiyo picha ni ya tukio lingine.

Kujenga hoja kwa kutumia ushahidi potoshi ni dalili za kuishiwa hoja.
 
Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ?

Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli?

View attachment 3627478

Britanicca
Hawa mboga mboga wamezoea kusifia na kusikia kusifiwa,inapokuja kinyume chake hawajitafakari!Wanaanza kuwarushia Upinzani kwamba wanawavurugia,huku wamesahau wamekataza maandamano!
 
Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ?

Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli?

View attachment 3627478

Britanicca
Msigwa anataka battle na wanainchi soon ataumbuka ngoja aendelee kuona watanzania vilaza atajaa kwenye mfumo tu na tabia yake ya kukanusha kanusha mambo atapigwa tukio live kama waziri wake kuzomewa sijui atafanyaje
 
Kijamaa ni mashine ya kuchakata propaganda sasa hiyo picha ilikua ina sababu za kukanushwa?

Gen -Z watawaburuza sana kizazi hiki cha AI.
 
Tuwekeeni anazoangalia mwenyekiti wenu wa muda yule mpigaji.
 
Back
Top Bottom