Uhaini
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 318
- 797
Kama wewe au nyie ndio miongoni mwa think-tank.... Hatuna nchi..Tuwekeeni anazoangalia mwenyekiti wenu wa muda yule mpigaji.
Mbona hakuna sehemu mtoa thread kaongelea vyama.
Looser
Kama wewe au nyie ndio miongoni mwa think-tank.... Hatuna nchi..Tuwekeeni anazoangalia mwenyekiti wenu wa muda yule mpigaji.
Wanaopotosha ni Chadema hivyo lazima wajibiwe katika aspect ya uchama.Kama wewe au nyie ndio miongoni mwa think-tank.... Hatuna nchi..
Mbona hakuna sehemu mtoa thread kaongelea vyama.
Looser
Kwa nini niipuuze wakati mimi binafsi nimevutiwa na ubunifu uliotumika hata kama ni feki?Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ?
Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli?
View attachment 3627478
Britanicca
Embu kuweni serious sometimes haijalishi alikuwa anaangalia au haangalii....Wanaopotosha ni Chadema hivyo lazima wajibiwe katika aspect ya uchama.
Hata hivyo ufafanuzi umetolewa na Wizara.
Tatizo Chadema pekee ndio mnaona nchi imeinama ila watanzania wengine wapo busy kulijenga Taifa lao.Embu kuweni serious sometimes haijalishi alikuwa anaangalia au haangalii....
Ila kitendo Cha kiongozi kuzomewa pale alipohitaji kuzungumzia yanayohusu Serikali, mlipaswa kukaa na kujiuliza na kuona namna gani ya kutatua changamoto hizi zinazoendelea....
Niwajibu wetu sote kama nchi na wananchi kuona namna gani tunaliponya Taifa kutokana na madhila yaliyojitokeza.
Endeleeni kushupaza shingo na kujibu Kila linaloibuliwa ndani ya jamii... Nchi imeinama
Akili za kuona hili wanazo basi?Kulikuwa na haja gani ya kutolea ufafanuzi kuhusu hilo?
Imagine 🤣Watu wamejilipia viingilio wanajiliwaza na madhira ya utawala wake bado anawafuata tu, kwani aliwalipia vingilio?
Kumbe unaongelea mambo ya vyama...Tatizo Chadema pekee ndio mnaona nchi imeinama ila watanzania wengine wapo busy kulijenga Taifa lao.
Unapotokea upotoshaji lazima ujibiwe.
Chadema mnapaswa kushiriki katika kulijenga Taifa, katika mambo yote ikiwa na kushiriki Uchaguzi na sio muda wote kufarakanisha jamii na kuzua taharuki.
😂😂😂😂Watu wamejilipia viingilio wanajiliwaza na madhira ya utawala wake bado anawafuata tu, kwani aliwalipia vingilio?