britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Ukiona hivyo ufafanuzi umekuwa mwingi basi mfalme kavimbaNaona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ?
Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli?
View attachment 3627478
Britanicca
Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ?
Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli?
View attachment 3627478
Britanicca
Ikulu kabisa badala ya kuandika nia wanaandika nio!? Kweli aliye zoea vya kunyonga vya kuchinja haweziNaona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ?
Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli?
View attachment 3627478
Britanicca
Kushangiliwa au kutoshangiliwa hakuhalalishi kwamba hiyo picha ni ya tukio lingine.Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ?
Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli?
View attachment 3627478
Britanicca
Hawa mboga mboga wamezoea kusifia na kusikia kusifiwa,inapokuja kinyume chake hawajitafakari!Wanaanza kuwarushia Upinzani kwamba wanawavurugia,huku wamesahau wamekataza maandamano!Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ?
Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli?
View attachment 3627478
Britanicca
Msigwa anataka battle na wanainchi soon ataumbuka ngoja aendelee kuona watanzania vilaza atajaa kwenye mfumo tu na tabia yake ya kukanusha kanusha mambo atapigwa tukio live kama waziri wake kuzomewa sijui atafanyajeNaona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ?
Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli?
View attachment 3627478
Britanicca
Msigwa mjinga sana😂Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ?
Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli?
View attachment 3627478
Britanicca
Ukiona hivyo ujue wameumia sana, wakifikiria kutoka ushindi wa 98% hadi kuzomewa lazima wajae hasira.Kulikuwa na haja gani ya kutolea ufafanuzi kuhusu hilo?
Angalau Rais Samia anakubali kukosolewa. Mkosoe Heche wa Chadema uone kama utabaki Chademani!Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ?
Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli?
View attachment 3627478
Britanicca
Mkosoe upotee au maiti yako iokotwe porini.Angalau Rais Samia anakubali kukosolewa. Mkosoe Heche wa Chadema uone kama utabaki Chademani!
Kweli wewe ni mtoto wa shule sitarudia kujibizana na pupils.Angalau Rais Samia anakubali kukosolewa. Mkosoe Heche wa Chadema uone kama utabaki Chademani!