passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Uzi upi ni wewe na wakenya wenzako mnalia Kwa sababu ya tuktuk yenu Sisi Watanzania tupo vizuri Kwa sababu tunafanya kitu cha uhakika only one in East afrika.Kawajibu Watanzania wameangua kilio kwenye huo uzi maana mlichowaaminisha awali na uchafu mnachowaletea haviendani kabisaaa.
Uzi upi ni wewe na wakenya wenzako mnalia Kwa sababu ya tuktuk yenu Sisi Watanzania tupo vizuri Kwa sababu tunafanya kitu cha uhakika only one in East afrika.
Ewaaaaau🙏!
Uzembe kivipi?Majirani muwe na aibu kidogo, picha mlizotupia ni tofauti na hiki mnachosema leo, halafu duh hivi huu mradi bado upo? Kweli nyie ndio Wabongo.....yaani wazembe balaa
Uzembe kivipi?
Gari umeme with a maximum passengers carrying capacity of 1,100,000 per year compared to Kenya's Gari Moshi with a passengers carrying capacity of 3,000,000 per year.sie tunaleta Gari umeme!
Ukilinganisha na muundo ngani mbona IPO p
Kwani nani amekuonesha muundo kadogosa au?Duh! Watu wameanza kufungua nyuzi Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?
Huwezi linginisha Lori zenu😂😂😂Wawache kurukaruka. Watulie. Wanaletewa vichwa vya ngombe 👇 👇 View attachment 1849413
Huelewi unachoandika mapovu tuu naona hapaGari umeme with a maximum passengers carrying capacity of 1,100,000 per year compared to Kenya's Gari Moshi with a passengers carrying capacity of 3,000,000 per year.
Pole kwa maumivu. Your passenger trains will do a maximum of 1,100,000 passengers per year. Pingana na report ya Yerpi na sio Mimi.Huelewi unachoandika mapovu tuu naona hapa
Linganisha na ya Mombasa to Nairobi piaMimi nilijua kuanzia mwanzo hamna bullet train hapo. They best they can manage ni kama ile ya Ethiopia.
I can see only two differences -Linganisha na ya Mombasa to Nairobi pia
Speed ?I can see only two differences -
1. One uses electricity, the other diesel.
2. One can haul double stacked carriages, another cannot.
Otherwise vitu zingine hamna tofauti.
By how much? Lol🤣🤣Speed ?