Hyundai rotem has won a bid to supply an electric train in Tanzania # source the citizen news

Japan walianza kuunda bullet train 1964 sio 1994.
 
Khaa wewe hizo zinazotembea 80km/hr to 130km/hr mbona tunazo zinaenda Arusha na kurudi tena za MGR???
Na zingine zaelekea Mwanza??
Tunaziita deluxe train huku bongo na mara ya mwisho nimepanda kuelekea Tabora ilitembea mwendo wa 95km/hr km average speed.
Unachekesha ww.
 
Ndio sababu wanakufa kwa njaa, ujuaji mwingi sana
Ah wana wivu hawa jamaa na ukikosea wanajua kuumbua ile mbaya hasa hasa huyu MK254 anajua kuumbua.
Huyu nahisi anatakiwa afanye kazi mahakamani ili ukikosea ushahidi unalo.
 
Kwahiyo hiyo mitungi yenu ya chang'aa itakua na "average speed ya 30 to 70km/hr sio?[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Vichwa vya MGR vyenyewe vinapiga mpaka 120kph na hivi mgr yetu ni continuous welded after upgrading na axle tonnage imeongezrka tola 18 mpaka 25tons per axle at per with Kenyan SGR mbona kazi ipo.
 
Vichwa vya MGR vyenyewe vinapiga mpaka 120kph na hivi mgr yetu ni continuous welded after upgrading na axle tonnage imeongezrka tola 18 mpaka 25tons per axle at per with Kenyan SGR mbona kazi ipo.
Ndio nimemuelezea hapo kwamba zile deluxe train speed range yake
Vichwa vya MGR vyenyewe vinapiga mpaka 120kph na hivi mgr yetu ni continuous welded after upgrading na axle tonnage imeongezrka tola 18 mpaka 25tons per axle at per with Kenyan SGR mbona kazi ipo.
Yani treni luxurious kabisa.
Sipatii picha SGR ikianza kaz tren zake zitakua na ubora gani.

Ndio nimemuelezea hapo kwamba zile deluxe train speed range yake

Yani treni luxurious kabisa.
Sipatii picha SGR ikianza kaz tren zake zitakua na ubora gani.

View attachment 1959486

View attachment 1959487

Ila wakenya wakubalii tuu walipigwa kwwnye huo mradi wao wa sgr, kidogo kwwnye vituo vyao pesa ilionekana imefanya kaz lakini huko kwinginee ni mauuaji tuu
 
Bullet Train

Tokaido Shinkansen - First bullet train in Japan. Built in 1964. Speed - 240 - 320kph. Najua umesoma mahali 150 - 200mph ukachanganyikiwa. mph ni miles per hr. Multiply it by 1.6 and you'll get the speed in kph.
 
Huo mjadala tulishaufunga na jamaa juu
Tokaido Shinkansen - First bullet train in Japan. Built in 1964. Speed - 240 - 320kph. Najua umesoma mahali 150 - 200mph ukachanganyikiwa. mph ni miles per hr. Multiply it by 1.6 and you'll get the speed in kph.
Na nikasahihisha usiwe unasoma kwa kukurupuka buddah.
Hizo unazosema ww zakimbia kuanzia 200 mk/hr ni maglev na maglev ni contemporary invention huo mwaka Japan ilikua ina reli za Standard gauge sio magnet levelation buddah.
Hiyo 150 mile/hr to 200m/hr ni sawa na speed ya 250km/hr mpk 400+km/hr.
Na nikamwambia bro hapo kuwa nilikosea kuikopi hiyo article..
Soma hapo chini.
Nadhan maana ya "upto " unaieleweka kaka.
Maximum speed yake huko 1964 ilikua ni 200km/hr ibadilishe kwenda ktk miles itakua 125miles/hr.

Ila wakenya wakubalii tuu walipigwa kwwnye huo mradi wao wa sgr, kidogo kwwnye vituo vyao pesa ilionekana imefanya kaz lakini huko kwinginee ni mauuaji tuu
Ah Kenya ktk miundombinu ya majengo marefu nawapa kongole.
Upangaji wa mji nawapa hongera.
Ila kaka ktk hizi sgr locomotives zao hapana hapa wajitafakari wameingia mkenge.
Mie napata update kuhusu TRC aisee bro wanaboresha kila upande na kinachofanya sisi engine tulizonazo zisiende mwendo stahiki ni kwasababu ya uchakavu wa reli.
Ila sasa hv reli inafumuliwa na inajengwa ambayo itaweza kukidhi uzito na mwendo wa engine husika.
Ukiulizia jina la KIPPAYA TRC utapewa historia yetu hapo maana ukoo mzima tumelelewa na shirika la reli ndiomaana napafuatilia na kupakubali sana.
 
Wamefikia wapi kwwnye kuboresha relii ukoo
 
Hakuna Maglev in operation in Japan. Wewe ndio mkurupukaji alafu unaniita mkurupukaji. The only Maglev in Japan is currently under construction. Hujielewi.
 
Wamefikia wapi kwwnye kuboresha relii ukoo
Mbona mpk Tabora ishakarabatiwa kaka?
Ukarabati ulikua ni kukarabati km 970 mpk sasa zimekarabatiwa km 740 bimaana Dar-Tabora.Hakuna reli ile chakavu tena.
Wamefikia wapi kwwnye kuboresha relii ukoo
Kuna picha hapa kutoka blog ya reli tv .
Kuna ya kwanza hiyo ni reli ilotolewa na ya pili ndivyo reli ilivyo sasa.

Halafu mzee kanionesha hii kitu kwenye blog ya reli tv asa sijui ndio tunaletewa hizi kwaajili ya EMU??
Maana mpk chapa ya TRC imewekwa.

View attachment 1959784
Mkuu mbona hii kitu inajulikana tayari, vijana wanasubiri mzigo wa awali uwasili bandarini mda wowote toka sasa....

BTW, Antonov AN- 225 Mriya inaweza kuleta EMU zetu za mwanzo in just 3 consignments instead ya kutumia port of Hamburg ambayo itachukua mda mrefu, we are itching to break the damn record around here🙂
 
Vitu vya JPM. Mnasema vya mama. Wacheni hizo. Mama ajaanzisha mradi wo wote ule. KaI ya mamaa ni kazi iendelee
 
Ila wakenya wakubalii tuu walipigwa kwwnye huo mradi wao wa sgr, kidogo kwwnye vituo vyao pesa ilionekana imefanya kaz lakini huko kwinginee ni mauuaji tuu
Kwani ukitaka kumtapeli mtu si unamuaminisha maeneo ambayo yanaonekana sana kwa macho. Watu wakiona vile vitu wanajua mambo ni mazuri kumbe unapigwa jikoni kabisa kwenye umuhimu mkubwa. Hivyo wachina wamefanya kwenye sgr ya kenya unaweka urembo usoni lakini ndani uozo mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…