I ain't concerned about your past, our business is from now onwards

I ain't concerned about your past, our business is from now onwards

Ukijua una kimeo hutangazi, mpaka iwe ni grade hasa.

Ila nilikuja kuacha hizo mambo baada ya mshikaji kuoa demu tulikuwa tunamwita kimeo. Hapo ndo akili ikaanza kuja, maana trashing haitakiwi kwa family members, I real observe that.
Mshikaji alikuwa na roho ngumu, [emoji23][emoji23][emoji23] mnamuita kimeo ye kaoa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku pekee niliyosifiwa na mzee ni baada ya matokeo ya advance kutoka, maana nilifunika shuleni na centre tuliyokuwa tunaishi. Kwa hiyo dingi watu wakawa wanamsifu mpaka yeye mwenyewe akaniambia hongera. Only that one time.
Hongera sana. Kuna wengine tulikuwa tunasifiwa tukipata hesabu zaidi ya 20%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mzee wako alikuwa mgumu kutoa pongezi kama my sister, mimi alinipongeza mtihani wa form four huko nyuma hata ukiwa wa kwanza unaambiwa umekuwa wa kwanza kati ya wajinga na wewe unajiona wa maana hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuwa wakwanza kwa wastani wa B au C[emoji23][emoji1][emoji1]. Ila ulikuwa unajisikia vibaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana. Kuna wengine tulikuwa tunasifiwa tukipata hesabu zaidi ya 20%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Na imesababisha hata ukiwa na bosi ambaye hatoi sifa unaona kawaida. Utakuta mfano Directors kila kikao lazima waitukane management hata kama imefanya vizuri. Ingawa wapo wanaosifia, lakini wahenga wengi ilikuwa ngumu kutoa sifa.

Nadhani ni kufata msemo wa "Mgema ukimsifu, tembo hulitia maji".
 
Don't worry about what people think or say . Just ignore them its because they don’t know what they are talking about.
They don’t know even the things you do. If they knew, they would be so jealous. You should tell the world that she is yours.
I hope this love is only getting stronger...And yeeeeeah she will never ever leave you. Course she want you and she need you.
Hahahahaha Goodnight.!!
Naomba nifundishe kithungu kama chako aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na imesababisha hata ukiwa na bosi ambaye hatoi sifa unaona kawaida. Utakuta mfano Directors kila kikao lazima waitukane management hata kama imefanya vizuri. Ingawa wapo wanaosifia, lakini wahenga wengi ilikuwa ngumu kutoa sifa.

Nadhani ni kufata msemo wa "Mgema ukimsifu, tembo hulitia maji".
Basi Mimi napenda kusifiwa na inanipa nguvu ya kufanya vizuri zaidi.
Naogopa kukandiwa. Ila acha nianze kujifunza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema la ukweli sikutanii. ..nafuatilia post zako unazoandikaga kithungu zinanipaga morali ya kujifunza...

Hebu nianzishie twisheni jamani kiroho safi kabisa...

Aibu nishatupa kule[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila unajua jua kidogo ndiyo maana unaelewa nilichoandika mkuu.
Kama ni kweli [emoji23][emoji23] tutaanza tuition.
"Kama ni kweli lakini"
 
Ila unajua jua kidogo ndiyo maana unaelewa nilichoandika mkuu.
Kama ni kweli [emoji23][emoji23] tutaanza tuition.
"Kama ni kweli lakini"
Kusema la ukweli nikisema sielewi nitakuwa naongopa [emoji23]..

Shughuli ipo hapo kwenye kuzichanganya hzo would mara could. Yan hapo kwenye kuzichanganya na kuzitumia kwa usahihi. .
"Nasema ukweli"
Aibu nimeshatupa kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema la ukweli nikisema sielewi nitakuwa naongopa [emoji23]..

Shughuli ipo hapo kwenye kuzichanganya hzo would mara could. Yan hapo kwenye kuzichanganya na kuzitumia kwa usahihi. .
"Nasema ukweli"
Aibu nimeshatupa kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu basi tutakuwa tunafundishana huko tuition. Na mimi nitajifunza kutoka kwako.
Ukiwa tayari nijulishe.
" kama ni kweli "
 
Back
Top Bottom