I ain't concerned about your past, our business is from now onwards

I ain't concerned about your past, our business is from now onwards

Hahaha mzee wako alikuwa mgumu kutoa pongezi kama my sister, mimi alinipongeza mtihani wa form four huko nyuma hata ukiwa wa kwanza unaambiwa umekuwa wa kwanza kati ya wajinga na wewe unajiona wa maana hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Wahenga noma, hiyo kauli niliambiwa na mzee kila nikiwa wa kwanza. Hadi Mock form 4 akanichana. Ubaya form 4 nikawa wa 3 shuleni, pamoja na kwamba naenda form 5 lakini nilikoma.

Kwa hiyo advance nilisomea sifa balaa.
 
Daaamn straight. You are "yangeyange" and the rest of us ..nouuuu it supposed to be them..( I exclude myself)
So if others are ghosts ....he may even be your In-law.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaahah! I have said already, one too many times. And I am gonna be straight na wafe wajinyonge. We are angels. Sisi ni yange yange na utakaporuka ntakufuata.

Hii ya in law hii ntaitafutia maelezo.
 
Wahenga noma, hiyo kauli niliambiwa na mzee kila nikiwa wa kwanza. Hadi Mock form 4 akanichana. Ubaya form 4 nikawa wa 3 shuleni, pamoja na kwamba naenda form 5 lakini nilikoma.

Kwa hiyo advance nilisomea sifa balaa.
Mimi nilipongezwa japo hata sikufaulu ile kiviile...sema tu labda alifurahi kuona naendelea Kayumba lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaahah! I have said already, one too many times. And I am gonna be straight na wafe wajinyonge. We are angels. Sisi ni yange yange na utakaporuka ntakufuata.

Hii ya in law hii ntaitafutia maelezo.
Anaweza pia kuwa your uncle [emoji23][emoji23].
According to Ghosts theory. We don't know each other. (Except you guys)
 
Mimi nilipongezwa japo hata sikufaulu ile kiviile...sema tu labda alifurahi kuona naendelea Kayumba lol

Sent using Jamii Forums mobile app

Mdingi alikuwa anapenda kumsifu mdogo wangu sana, kama kunipa challenge.

Dogo alikuja kuchaguliwa kwenda Mzumbe form 1 hafu mi niko day mtaani hapo hapo.

Akili ndo ilinikaa sawa, maana A level nilivyopata nafasi ya kwenda boarding nikamwambia tu mzee mwanao ntamshinda form 6, ila form 4 nishapoteza.

Na ndo ulikuja kuwa hivyo, mpaka leo madogo wote mimi ndo anawatumia kwa mfano wakati alikuwa ananiponda mpaka mama anaingilia kati
 
Back
Top Bottom